Javascript must be enabled to continue!
Mafumbo ya mwanamke katika mashairi teule ya Muyaka
View through CrossRef
Ikisiri
Azma kuu ya makala hii ni kuchanganua mafumbo ya mwanamke wa Kiswahili wa karne ya kumi na tisa katika ushairi wa Kiswahili wa kipindi hicho. Kwa kutumia mashairi teule ya Muyaka, sura ya mwanamke huyo inabainishwa. Mwandishi anaongozwa na nadharia ya uhalisia hasa mhimili wa lugha unaosisitiza kuwa lugha sharti iambatane na wakati wake ili iweze kueleweka na wasemaji wake kimuktadha na kimatumizi. Mbali na kudurusu makala muhimu maktabani, mtafiti kwa kuelekezwa, alikwenda nyanjani kuwahoji Waswahili kuhusu utamaduni wao, hususan ule wa karne ya kumi na tisa. Katika makala hii, imedhihirika wazi kwamba, picha ya mwanamke wa Kiswahili inayochorwa katika mashairi teule ya Muyaka ina misingi yake katika utamaduni wa Waswahili wa karne hiyo. Makala hii itasaidia katika kuelewesha picha ya mwanamke wa Kiswahili wa karne ya kumi na tisa kama alivyosawiriwa katika ushairi wa Kiswahili wa karne hiyo.
Maneno muhimu: Mafumbo, uhalisia, utamaduni, shairi.
Abstract
The main objective of this paper is to analyse puzzles depicting the Swahili woman of the 19th century as portrayed in the Kiswahili poetry of that era. Using Muyaka’s selected poems and employing the realism theory, this research identified several puzzles through the terminologies used, that contextualiSed and depicted the Swahili Woman of the 19th Century. The researcher used both library and field research. It is clear that the image of the Swahili woman as portrayed in the puzzles of the selected poems of Muyaka emanates from the Swahili culture of the 19th Century. This paper gives a clear understanding of the Swahili woman as portrayed in the Kiswahili poetry of the 19th Century.
Key terms: Puzzles, Realism, Culture, Poem.
Editon Consortium Publishing
Title: Mafumbo ya mwanamke katika mashairi teule ya Muyaka
Description:
Ikisiri
Azma kuu ya makala hii ni kuchanganua mafumbo ya mwanamke wa Kiswahili wa karne ya kumi na tisa katika ushairi wa Kiswahili wa kipindi hicho.
Kwa kutumia mashairi teule ya Muyaka, sura ya mwanamke huyo inabainishwa.
Mwandishi anaongozwa na nadharia ya uhalisia hasa mhimili wa lugha unaosisitiza kuwa lugha sharti iambatane na wakati wake ili iweze kueleweka na wasemaji wake kimuktadha na kimatumizi.
Mbali na kudurusu makala muhimu maktabani, mtafiti kwa kuelekezwa, alikwenda nyanjani kuwahoji Waswahili kuhusu utamaduni wao, hususan ule wa karne ya kumi na tisa.
Katika makala hii, imedhihirika wazi kwamba, picha ya mwanamke wa Kiswahili inayochorwa katika mashairi teule ya Muyaka ina misingi yake katika utamaduni wa Waswahili wa karne hiyo.
Makala hii itasaidia katika kuelewesha picha ya mwanamke wa Kiswahili wa karne ya kumi na tisa kama alivyosawiriwa katika ushairi wa Kiswahili wa karne hiyo.
Maneno muhimu: Mafumbo, uhalisia, utamaduni, shairi.
Abstract
The main objective of this paper is to analyse puzzles depicting the Swahili woman of the 19th century as portrayed in the Kiswahili poetry of that era.
Using Muyaka’s selected poems and employing the realism theory, this research identified several puzzles through the terminologies used, that contextualiSed and depicted the Swahili Woman of the 19th Century.
The researcher used both library and field research.
It is clear that the image of the Swahili woman as portrayed in the puzzles of the selected poems of Muyaka emanates from the Swahili culture of the 19th Century.
This paper gives a clear understanding of the Swahili woman as portrayed in the Kiswahili poetry of the 19th Century.
Key terms: Puzzles, Realism, Culture, Poem.
Related Results
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Lugha ni chombo cha kipekee kinachofinyangwa kuwasilisha taswira ya masuala changamano katika jamii. Matokeo haya ya lugha ni fasihi, ambayo ni kioo cha jamii. Biblia Takatifu ni k...
Umuhimu wa mafumbo yanayotumika katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya.
Umuhimu wa mafumbo yanayotumika katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya.
IKISIRI
Utafiti huu ulihakiki umuhimu wa mafumbo yanayotumiwa katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya. Mafumbo ni kipera cha semi katika ...
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Makala haya yamekusudia kuchunguza namna ambavyo mabadiliko katika mtaala wa elimu ya msingi yanavyoathiri tathmini katika elimu ya juu. Mabadiliko ya mtaala yanafanyika katika nga...
Nafasi ya Riwaya za Kingano za Kiswahili katika Harakati za Kupigania Hadhi-Msingi ya Mwanamke. Mfano Riwaya ya Marimba ya Majaliwa (2008) ya Edwin Semzaba
Nafasi ya Riwaya za Kingano za Kiswahili katika Harakati za Kupigania Hadhi-Msingi ya Mwanamke. Mfano Riwaya ya Marimba ya Majaliwa (2008) ya Edwin Semzaba
Makala haya yanalenga kuonesha namna riwaya za kingano za Kiswahili zinavyoweza kutumika kumpigania na kumkomboa mtu mnyonge hususani mwanamke na mtoto. Baadhi ya watu wanadhani ng...
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Maumbile ya binadamu yamechukua mikondo miwili; mwanamume na mwanamke. Jamii tofauti hutoa majukumu kwa kuzingatia migao hii miwili. Hivi ni kusema kuwa, shughuli za mtu katika jam...
Sifa za Kimuundo Katika Diwani Huru ya Rangi ya Anga
Sifa za Kimuundo Katika Diwani Huru ya Rangi ya Anga
Makala hii inalenga kuchambua na kutathmini sifa za kimuundo katika diwani huru ya Rangi ya Anga. Sifa za kimuundo ni muhimu katika kuudhibiti usomaji wa mashairi teule na kumwelek...
Usawiri wa Mwanamke wa Kisasa wa Kiislamu katika Filamu ya Maria.
Usawiri wa Mwanamke wa Kisasa wa Kiislamu katika Filamu ya Maria.
Swahili
Utafiti huu ulilenga kuchunguza usawiri wa mwanamke wa kisasa wa Kiislamu katika filamu ya Maria. Mada ya utafiti ilitokana na utanzu wa fasihi simulizi, ambapo drama, kama...
Mifumo ya Kijamii katika Tamthilia Teule za Kiswahili
Mifumo ya Kijamii katika Tamthilia Teule za Kiswahili
Mifumo ya kijamii inajitokeza waziwazi katika fasihi andishi ya Kiswahili. Mifumo hiyo huwakilisha matukio ya fasihi andishi na jinsi yanavyoichora na kwa mapana kuwa kioo cha jami...

