Javascript must be enabled to continue!
Umuhimu wa mafumbo yanayotumika katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya.
View through CrossRef
IKISIRI
Utafiti huu ulihakiki umuhimu wa mafumbo yanayotumiwa katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya. Mafumbo ni kipera cha semi katika fasihi simulizi. Tafiti za awali zilijikita katika kipengele cha mafumbo zikishughulikia maudhui na fani ya lugha kwa jumla, lakini bado kuna haja ya kuhakiki umuhimu wa mafumbo yanayotumiwa katika wosia wa babu kwa wavulana katika jamii ya Wabukusu. Hii ndiyo sababu kuu iliyochochea utafiti huu kufanywa ili kulijaza pengo hili la kiusomi. Nadharia ya uamilifu ilitumiwa katika uwasilishaji na uchanganuzi wa data. Kata mbili za Kimilili na Kamukuywa ndizo zilizochaguliwa kuwakilisha kaunti ndogo ya Kimilili. Mbinu za mahojiano na uchunzaji wa kushiriki zilitumika katika ukusanyaji wa data. Utafiti huu ulitumia muundo wa kimaelezo katika kuchanganua na kuwasilisha data. Sampuli ya kimaksudi ilitumiwa kuchagua wazee wanne wa kati ya miaka sitini na sabini na wavulana wanne wa kati ya miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili kutoka kila kata husika ili kushiriki katika utafiti. Ilibainika kuwa babu hutumia mafumbo kuficha siri, kushauri, kuonya, kuleta utangamano, kuhimiza ubunifu, kukuza lugha, kukuza maadili mema na kupunguza makali katika semi miongoni mwa wavulana. Utafiti huu utatumiwa kama marejeleo na wasomi wengine katika tafiti zinazohusu jamii ya Wabukusu.
ABSTRACT
This research analysed the importance of puzzles that are used by grandfathers to advise young men among the Bukusus of Kenya. Puzzles fall under short forms in oral literature. Previous Researchers focused on themes and styles in general but there is still room for research that focus on the importance of the puzzles in the context of the grandfather’s advisory session to the initiates amongst the Bukusus. This is the academic gap that the researcher intended to fill in. The research was purposively done in Kimilili and Kamukuywa locations of Kimilili Sub County in Bungoma County. Functionalism theory was used in data analysis and interpretation. Functionalism theory emphasizes on the importance of all aspects of literature in the society. This research employed participation and interview methods in data collection. Purposive sampling technique was used in selecting the research sample whereby four elders of between sixty and seventy years and four young men of between eighteen and twenty two years were selected from each of the two locations to participate in the study. Descriptive method was used in data analysis and presentation. It emerged that puzzles are used in keeping secrets, enhance unity, improve creativity, language development, developing good manners and reduce tension in speech. This research will be used as a reference point for oral literature studies amongst the Bukusu community.
Editon Consortium Publishing
Title: Umuhimu wa mafumbo yanayotumika katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya.
Description:
IKISIRI
Utafiti huu ulihakiki umuhimu wa mafumbo yanayotumiwa katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya.
Mafumbo ni kipera cha semi katika fasihi simulizi.
Tafiti za awali zilijikita katika kipengele cha mafumbo zikishughulikia maudhui na fani ya lugha kwa jumla, lakini bado kuna haja ya kuhakiki umuhimu wa mafumbo yanayotumiwa katika wosia wa babu kwa wavulana katika jamii ya Wabukusu.
Hii ndiyo sababu kuu iliyochochea utafiti huu kufanywa ili kulijaza pengo hili la kiusomi.
Nadharia ya uamilifu ilitumiwa katika uwasilishaji na uchanganuzi wa data.
Kata mbili za Kimilili na Kamukuywa ndizo zilizochaguliwa kuwakilisha kaunti ndogo ya Kimilili.
Mbinu za mahojiano na uchunzaji wa kushiriki zilitumika katika ukusanyaji wa data.
Utafiti huu ulitumia muundo wa kimaelezo katika kuchanganua na kuwasilisha data.
Sampuli ya kimaksudi ilitumiwa kuchagua wazee wanne wa kati ya miaka sitini na sabini na wavulana wanne wa kati ya miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili kutoka kila kata husika ili kushiriki katika utafiti.
Ilibainika kuwa babu hutumia mafumbo kuficha siri, kushauri, kuonya, kuleta utangamano, kuhimiza ubunifu, kukuza lugha, kukuza maadili mema na kupunguza makali katika semi miongoni mwa wavulana.
Utafiti huu utatumiwa kama marejeleo na wasomi wengine katika tafiti zinazohusu jamii ya Wabukusu.
ABSTRACT
This research analysed the importance of puzzles that are used by grandfathers to advise young men among the Bukusus of Kenya.
Puzzles fall under short forms in oral literature.
Previous Researchers focused on themes and styles in general but there is still room for research that focus on the importance of the puzzles in the context of the grandfather’s advisory session to the initiates amongst the Bukusus.
This is the academic gap that the researcher intended to fill in.
The research was purposively done in Kimilili and Kamukuywa locations of Kimilili Sub County in Bungoma County.
Functionalism theory was used in data analysis and interpretation.
Functionalism theory emphasizes on the importance of all aspects of literature in the society.
This research employed participation and interview methods in data collection.
Purposive sampling technique was used in selecting the research sample whereby four elders of between sixty and seventy years and four young men of between eighteen and twenty two years were selected from each of the two locations to participate in the study.
Descriptive method was used in data analysis and presentation.
It emerged that puzzles are used in keeping secrets, enhance unity, improve creativity, language development, developing good manners and reduce tension in speech.
This research will be used as a reference point for oral literature studies amongst the Bukusu community.
Related Results
Microwave Ablation with or Without Chemotherapy in Management of Non-Small Cell Lung Cancer: A Systematic Review
Microwave Ablation with or Without Chemotherapy in Management of Non-Small Cell Lung Cancer: A Systematic Review
Abstract
Introduction
Microwave ablation (MWA) has emerged as a minimally invasive treatment for patients with inoperable non-small cell lung cancer (NSCLC). However, whether it i...
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose
Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Makala haya yamekusudia kuchunguza namna ambavyo mabadiliko katika mtaala wa elimu ya msingi yanavyoathiri tathmini katika elimu ya juu. Mabadiliko ya mtaala yanafanyika katika nga...
Kupambanua Mbinu za Uwakilishi wa Uhalisia-Ajabu Katika Mustakabali wa Uongozi Barani Afrika Katika Karne ya 21 Katika Riwaya ya Babu Alipofufuka.
Kupambanua Mbinu za Uwakilishi wa Uhalisia-Ajabu Katika Mustakabali wa Uongozi Barani Afrika Katika Karne ya 21 Katika Riwaya ya Babu Alipofufuka.
Sanaa za kihalisia-ajabu husheheni usimulizi wa matukio yasiyotafsirika wala kufikirika kuwa na uyakinifu katika maisha ya mwanadamu. Fasihi za aina hii hutilia nguvu umazingaombwe...
Ujitokezaji wa Viarudhi vya Kifonolojia katika Kihaya: Uchunguzi Kifani wa Toni katika Lahaja ya Kihamba
Ujitokezaji wa Viarudhi vya Kifonolojia katika Kihaya: Uchunguzi Kifani wa Toni katika Lahaja ya Kihamba
Fonolojia ni taaluma iliyosheheni viarudhi au vipambasauti kama ambavyo wataalamu wengine huviita. Miongoni mwake ni toni, lafudhi, mkazo, nguvumsikiko, usilabi, kiimbo, unguvunguv...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Umuhimu Wa Kufundisha Lugha Ya Kiswahili Katika Shule Za Sekondari Nchini Uganda
Umuhimu Wa Kufundisha Lugha Ya Kiswahili Katika Shule Za Sekondari Nchini Uganda
Katika makala haya, mtafiti anaeleza namna ambavyo Kiswahili kinaweza kuwa na manufaa kwa nchi ya Uganda. Ni kweli kwamba nchini Uganda, watu kadhaa wakiwemo baadhi ya wanasiasa ha...
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...

