Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Muainisho wa matamko tendi katika riwaya za Ken Walibora

View through CrossRef
Ikisiri Makala hii inanuia kuchunguza matamko tendi yanayopatikana katika dayolojia baina ya wahusika katika riwaya za Walibora. Madhumuni mahsusi ni kuainisha MT yaliyotumiwa katika riwaya za Walibora. Makala iliongozwa na Nadharia ya Vitendo Usemi. Muundo wa kiuchanganuzi ulitumiwa huku taaluma ikiwa ni pragmatiki. Sampuli dhamirifu ilitumika kuteua riwaya nne za Walibora huku sampuli dabwadabwa ikitumika kuteua MT kutoka riwaya hizo. Mbinu ya unukuzi ilitumiwa kudondoa sehemu za matini na kuwekwa kwenye jedwali la matukio. Deta zilichanganuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo kulingana na madhumuni ya makala na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo na majedwali. Makala yalionyesha MT mengi kuwa MTE yakiwa 121 kwa 285. Idadi kubwa ya MT yalikuwa ya kuamuru kumaanisha msemaji alitumia mamlaka aliyo nayo kushrutisha msemewa atende jambo kwa kuzingatia kanuni ya kiilokusheni. Mengine yakiwa ya kukaribisha. Uchanganuzi wa MT una umuhimu katika usomaji, uchanganuzi na ufasiriaji wa mazungumzo ya wahusika na maana anayonuia mwandishi wa riwaya.   Maneno muhimu: Muainisho, matamko tendi, riwaya.   Abstract This article seeked to analyse the speech acts in utterances in the conversation of the characters in Walibora‘s novels. The specific objective of the article was to categorise performative acts as used in the novels. Speech Acts Theory guided the study. The article employed analytical research design, while the article area was pragmatics. Purposive sampling was used to select Walibora’s four novels while saturation sampling was employed to select the performative acts in the novels. Content analysis was done while selected performative acts were recorded in a table of occurrence. Data was analysed thematically depending on research objectives and presented using text and tables. The research found out that the most dominant category of performative acts were the directives with 121 out of 285. The usage of the performative acts were predominantly attempts to order the hearer to do something. That means the speaker employed their authority to order the hearer to do something according to illocutionary felicity. Another predominant type was the acts of welcoming. Performative acts analysis have importance on the readership, analysis, and interpretation of characters’ conversations and the implied meaning in novels.   Key terms:  categorisation, performative acts, characters, novels.
Title: Muainisho wa matamko tendi katika riwaya za Ken Walibora
Description:
Ikisiri Makala hii inanuia kuchunguza matamko tendi yanayopatikana katika dayolojia baina ya wahusika katika riwaya za Walibora.
Madhumuni mahsusi ni kuainisha MT yaliyotumiwa katika riwaya za Walibora.
Makala iliongozwa na Nadharia ya Vitendo Usemi.
Muundo wa kiuchanganuzi ulitumiwa huku taaluma ikiwa ni pragmatiki.
Sampuli dhamirifu ilitumika kuteua riwaya nne za Walibora huku sampuli dabwadabwa ikitumika kuteua MT kutoka riwaya hizo.
Mbinu ya unukuzi ilitumiwa kudondoa sehemu za matini na kuwekwa kwenye jedwali la matukio.
Deta zilichanganuliwa kwa kutumia mbinu ya kimaelezo kulingana na madhumuni ya makala na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo na majedwali.
Makala yalionyesha MT mengi kuwa MTE yakiwa 121 kwa 285.
Idadi kubwa ya MT yalikuwa ya kuamuru kumaanisha msemaji alitumia mamlaka aliyo nayo kushrutisha msemewa atende jambo kwa kuzingatia kanuni ya kiilokusheni.
Mengine yakiwa ya kukaribisha.
Uchanganuzi wa MT una umuhimu katika usomaji, uchanganuzi na ufasiriaji wa mazungumzo ya wahusika na maana anayonuia mwandishi wa riwaya.
  Maneno muhimu: Muainisho, matamko tendi, riwaya.
  Abstract This article seeked to analyse the speech acts in utterances in the conversation of the characters in Walibora‘s novels.
The specific objective of the article was to categorise performative acts as used in the novels.
Speech Acts Theory guided the study.
The article employed analytical research design, while the article area was pragmatics.
Purposive sampling was used to select Walibora’s four novels while saturation sampling was employed to select the performative acts in the novels.
Content analysis was done while selected performative acts were recorded in a table of occurrence.
Data was analysed thematically depending on research objectives and presented using text and tables.
The research found out that the most dominant category of performative acts were the directives with 121 out of 285.
The usage of the performative acts were predominantly attempts to order the hearer to do something.
That means the speaker employed their authority to order the hearer to do something according to illocutionary felicity.
Another predominant type was the acts of welcoming.
Performative acts analysis have importance on the readership, analysis, and interpretation of characters’ conversations and the implied meaning in novels.
  Key terms:  categorisation, performative acts, characters, novels.

Related Results

Ukiushi wa Kaida Tagusani katika Kusawiri Upotovu wa Maadili katika Jamii: Mifano kutoka Riwaya Teule za Ken Walibora
Ukiushi wa Kaida Tagusani katika Kusawiri Upotovu wa Maadili katika Jamii: Mifano kutoka Riwaya Teule za Ken Walibora
Hulka za wahusika katika tungo za sanaa aghalabu husukwa kutokana na matendo yanayoathiriwa na matukio katika mazingira wanamokulia. Hulka hizi hudhihirika kupitia matamko yanayoba...
Mtagusano wa Vipengele vya Utandawazi na Vipengele vya Falsafa ya Ubuntu katika Riwaya Teule za Kisasa za Kiswahili
Mtagusano wa Vipengele vya Utandawazi na Vipengele vya Falsafa ya Ubuntu katika Riwaya Teule za Kisasa za Kiswahili
Riwaya za kisasa ni zile zilizoandikwa katika zama za utandawazi na huakisi maisha, changamoto, na mitazamo ya dunia ya sasa. Tofauti na riwaya zisizo za kisasa au za mwanzo zinazo...
Ulinganishi wa Matatizo Ya Kijamii Yanayowakumba Majagina Katika Tendi Za Mikidadi Na Mayasa Na Kalevala
Ulinganishi wa Matatizo Ya Kijamii Yanayowakumba Majagina Katika Tendi Za Mikidadi Na Mayasa Na Kalevala
Uwepo wa tendi katika maeneo ya Afrika umezua mjadala na mgogoro mkali mno katika jamii ya usomi. Hii ni kutokana na rai kuwa wasomi na watafiti wengi kutoka maeneo y...
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Makala haya yamekusudia kuchunguza namna ambavyo mabadiliko katika mtaala wa elimu ya msingi yanavyoathiri tathmini katika elimu ya juu. Mabadiliko ya mtaala yanafanyika katika nga...
Uchunguzi Linganishi wa Dhamira Zinazowasilishwa Kupitia Wahusika wa Kiume Katika Riwaya Teule za Kiswahili
Uchunguzi Linganishi wa Dhamira Zinazowasilishwa Kupitia Wahusika wa Kiume Katika Riwaya Teule za Kiswahili
Makala hii inalinganisha dhamira zilizowasilishwa kupitia wahusika wa kiume katika riwaya teule za Kiswahili zilizoandikwa na wanawake wa Kenya na Tanzania. Tumaini (2006) ya Clara...
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Lugha ni chombo cha kipekee kinachofinyangwa kuwasilisha taswira ya masuala changamano katika jamii. Matokeo haya ya lugha ni fasihi, ambayo ni kioo cha jamii. Biblia Takatifu ni k...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...

Back to Top