Javascript must be enabled to continue!
Teknolojia ibuka na ufundishaji wa somo la Kiswahili
View through CrossRef
Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kuchanganua teknolojia ibuka na ufundishaji wa somo la Kiswahili. Katika sekta mbalimbali kama vile afya, benki, biashara, usafiri, utawala, kilimo, ufundi na hata mawasiliano teknolojia za kisasa zinatumiwa. Sekta ya elimu haijaachwa nyuma katika matumizi ya teknolojia hizi. Utafiti huu ulizingatia nadharia ya Piaget inayosema kuwa akili ya mtoto hukua kulingana na mtagusano wake na mazingira. Matokeo ya utafiti huu ni kuwa, Teknolojia ibuka kama vile mtandao, tarakilishi, video, redio, simu, setelaiti, barua pepe, runinga, vipakatalishi, zote zinaweza kutumiwa kurahisisha mawasiliano darasani, kujenga kumbukumbu ya wanafunzi, kuwapa nafasi ya kutafiti mada tofauti, kufurahia kujifunza, kupata uhalisa wa yale wanayojifunza na hata kufanyia mazoezi teknolojia tofauti kwa maandalizi ya ulimwengu wa kazi. Pia idadi ya wanafunzi inaendelea kupanda ikilinganishwa na waalimu wanaotakiwa kushughulikia wanfunzi hawa. Kwa vile Kiswahili ni somo la lazima teknolojia hizi zingekumbatiwa ingekuwa rahisi sana mwalimu kufunza stadi kwa wanafunzi wengi wakati mmoja hata wakiwa katika maeneo tofauti. Teknolojia ibuka huzingatia fahiwa tofauti hasa za kusikiliza na kuona. Redio, epurekoda, runinga, simu za mkononi zinaweza kutumiwa kufunza stadi ya kusikiliza. Tepurekoda, kanda za video, runinga zinaweza kutumiwa kufunza stadi ya kuzungumza. Stadi ya kusoma inaweza kufunzwa kwa kutumia mtandao, vifaa vya kurekodi sauti, nayo stadi ya kuandika inaweza kufunzwa kwa kutumia simu za mkononi, runinga, mtandao au video. Wanafunzi wanaweza kupata ujumbe, ufafanuzi kwa kutafiti mtandaoni. Inatarajiwa kuwa waalimu na wanafunzi wa somo la Kiswahili watazingatia teknolojia ibuka kuelewa somo hili na kupata umilisi wa kutumia lugha ya Kiswahili katika mawasiliano.
ABSTRACT
Use of modern technology has changed ways of communication and work environments. It is assumed that these technologies can be a solution to most of the challenges encountered in social, economic and environmental spheres. In sectors like health, banking, business, transport, governance, agriculture, industry and even communication, these modern technologies are being used. The education sector has not been left behind, especially in the days of the Coronavirus. Online learning has taken centre stage in most higher learning Institutions, especially during the lockdown period. Kiswahili is a compulsory subject in all schools in Kenya; hence, there is a need to teach it well so that students can use it in daily communication to achieve national education goals. Modern technologies like the internet, computers, video, radio, phones, satellite, television, and laptops can all be used to make the instructional process interesting, memorable and engaging for learners. Derek asserts that the use of modern technologies in teaching helps the learners do research, get hands-on experience, and prepare for the world of work. According to Grabe and Grabe, these technology's use of technology in the classroom cannot be underscored. With the growing number of learners in the classroom, teachers have a higher workload, and technology would be a solution for higher output. Murray and Waller rightly put it that technology engages all the senses, and this is good for teaching language skills like listening, speaking, reading and writing. The findings in this study show that different technologies play a very important role in the instructional process; hence, all teachers of Kiswahili need to incorporate technology in their lessons.
Keywords: Education, emerging technologies, Kiswahili, learning, teaching.
Editon Consortium Publishing
Title: Teknolojia ibuka na ufundishaji wa somo la Kiswahili
Description:
Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni kuchanganua teknolojia ibuka na ufundishaji wa somo la Kiswahili.
Katika sekta mbalimbali kama vile afya, benki, biashara, usafiri, utawala, kilimo, ufundi na hata mawasiliano teknolojia za kisasa zinatumiwa.
Sekta ya elimu haijaachwa nyuma katika matumizi ya teknolojia hizi.
Utafiti huu ulizingatia nadharia ya Piaget inayosema kuwa akili ya mtoto hukua kulingana na mtagusano wake na mazingira.
Matokeo ya utafiti huu ni kuwa, Teknolojia ibuka kama vile mtandao, tarakilishi, video, redio, simu, setelaiti, barua pepe, runinga, vipakatalishi, zote zinaweza kutumiwa kurahisisha mawasiliano darasani, kujenga kumbukumbu ya wanafunzi, kuwapa nafasi ya kutafiti mada tofauti, kufurahia kujifunza, kupata uhalisa wa yale wanayojifunza na hata kufanyia mazoezi teknolojia tofauti kwa maandalizi ya ulimwengu wa kazi.
Pia idadi ya wanafunzi inaendelea kupanda ikilinganishwa na waalimu wanaotakiwa kushughulikia wanfunzi hawa.
Kwa vile Kiswahili ni somo la lazima teknolojia hizi zingekumbatiwa ingekuwa rahisi sana mwalimu kufunza stadi kwa wanafunzi wengi wakati mmoja hata wakiwa katika maeneo tofauti.
Teknolojia ibuka huzingatia fahiwa tofauti hasa za kusikiliza na kuona.
Redio, epurekoda, runinga, simu za mkononi zinaweza kutumiwa kufunza stadi ya kusikiliza.
Tepurekoda, kanda za video, runinga zinaweza kutumiwa kufunza stadi ya kuzungumza.
Stadi ya kusoma inaweza kufunzwa kwa kutumia mtandao, vifaa vya kurekodi sauti, nayo stadi ya kuandika inaweza kufunzwa kwa kutumia simu za mkononi, runinga, mtandao au video.
Wanafunzi wanaweza kupata ujumbe, ufafanuzi kwa kutafiti mtandaoni.
Inatarajiwa kuwa waalimu na wanafunzi wa somo la Kiswahili watazingatia teknolojia ibuka kuelewa somo hili na kupata umilisi wa kutumia lugha ya Kiswahili katika mawasiliano.
ABSTRACT
Use of modern technology has changed ways of communication and work environments.
It is assumed that these technologies can be a solution to most of the challenges encountered in social, economic and environmental spheres.
In sectors like health, banking, business, transport, governance, agriculture, industry and even communication, these modern technologies are being used.
The education sector has not been left behind, especially in the days of the Coronavirus.
Online learning has taken centre stage in most higher learning Institutions, especially during the lockdown period.
Kiswahili is a compulsory subject in all schools in Kenya; hence, there is a need to teach it well so that students can use it in daily communication to achieve national education goals.
Modern technologies like the internet, computers, video, radio, phones, satellite, television, and laptops can all be used to make the instructional process interesting, memorable and engaging for learners.
Derek asserts that the use of modern technologies in teaching helps the learners do research, get hands-on experience, and prepare for the world of work.
According to Grabe and Grabe, these technology's use of technology in the classroom cannot be underscored.
With the growing number of learners in the classroom, teachers have a higher workload, and technology would be a solution for higher output.
Murray and Waller rightly put it that technology engages all the senses, and this is good for teaching language skills like listening, speaking, reading and writing.
The findings in this study show that different technologies play a very important role in the instructional process; hence, all teachers of Kiswahili need to incorporate technology in their lessons.
Keywords: Education, emerging technologies, Kiswahili, learning, teaching.
Related Results
Visababishi vya Idadi Kubwa ya Wanafunzi wa Shule za Sekondari Nchini Uganda Kutochukua Somo la Kiswahili
Visababishi vya Idadi Kubwa ya Wanafunzi wa Shule za Sekondari Nchini Uganda Kutochukua Somo la Kiswahili
Katika makala haya, mtafiti anaeleza visababishi vya idadi kubwa ya wanafunzi katika shule za upili nchini Uganda kutochukua somo la Kiswahili. Wakati wa kupunguza idadi ya masomo ...
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose
Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Changamoto za ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili katika shule za sekondari za umma Tanzania: mfano wa shule teule za sekondari Wilaya ya Kwimba
Changamoto za ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili katika shule za sekondari za umma Tanzania: mfano wa shule teule za sekondari Wilaya ya Kwimba
Ufaulu wa somo la Kiswahili kwa shule za sekondari za umma za Wilaya ya Kwimba ni hafifu ukilinganishwa na ufaulu wa somo hilo kitaifa. Hali hii ilibua mabunio ya kuwa huenda kuna ...
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa v...
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Maoni ya wanafunzi wa taasisi za kiufundi za kitaifa kuhusu nafasi ya Kiswahili katika elimu ya ufundi nchini Kenya
Maoni ya wanafunzi wa taasisi za kiufundi za kitaifa kuhusu nafasi ya Kiswahili katika elimu ya ufundi nchini Kenya
Utafiti huu ulinuia kutafuta maoni ya wanafunzi wa taasisi za kiufundi za kitaifa kuhusu nafasi ya lugha ya Kiswahili katika elimu ya kiufundi. Muundo wa Uchunguzi Kimaelezo ulitum...
Nafasi ya Kiswahili katika Ujenzi wa Utamaduni wa Uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, Kenya
Nafasi ya Kiswahili katika Ujenzi wa Utamaduni wa Uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, Kenya
Swahili
Lengo la makala haya ni kupambanua nafasi ya Kiswahili katika ujenzi wa utamaduni wa uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, nchini Kenya. Uongozi w...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...

