Javascript must be enabled to continue!
Usawiri wa mandhari kibibliotherapia katika hadithi fupi teule za kiswahili
View through CrossRef
Mandhari huwa ni sehemu muhimu katika kazi ya Sanaa. Mtunzi hutumia mandhari kuibua maudhui na sifa za wahusika. Mandhari ni mahali au makazi maalum yaliyojengwa na mtunzi na mnamotukia matukio mbalimbali ya kazi ya fasihi. Makala haya yalilenga kupambanua sifa za kibibliotherapia katika mandhari ya diwani teule za hadithi fupi za Kiswahili. Diwani hizo ni zifuatazo; Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine (2004), Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine (2007), Kiti cha Moyoni na Hadithi Nyingine (2007) na Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine (2016). Utafiti huu ulifanywa maktabani ambapo data ziliweza kukusanywa kwa kutumia mbinu ya udurusu wa vitabu. Mtafiti alipitia maandishi mbalimbali kutoka katika vitabu teule vya hadithi fupi pamoja na wavuti ili kupata maelezo yaliyotosha kukidhi haja ya Makala haya. Utafiti huu uliongozwa na Nadharia ya Mapatano ya Mwitikio wa Msomaji (NMMM) yake Rosenblatt (1995) ili kumsaidia mtafiti kupambanua sifa za kibibliotherapia katika mandhari. Matokeo ya utafiti huu yalibaini kwamba bibliotherapia hujitokeza katika mandhari yanayosawiriwa katika diwani hizi za hadithi fupi teule.
Editon Consortium Publishing
Title: Usawiri wa mandhari kibibliotherapia katika hadithi fupi teule za kiswahili
Description:
Mandhari huwa ni sehemu muhimu katika kazi ya Sanaa.
Mtunzi hutumia mandhari kuibua maudhui na sifa za wahusika.
Mandhari ni mahali au makazi maalum yaliyojengwa na mtunzi na mnamotukia matukio mbalimbali ya kazi ya fasihi.
Makala haya yalilenga kupambanua sifa za kibibliotherapia katika mandhari ya diwani teule za hadithi fupi za Kiswahili.
Diwani hizo ni zifuatazo; Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine (2004), Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine (2007), Kiti cha Moyoni na Hadithi Nyingine (2007) na Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine (2016).
Utafiti huu ulifanywa maktabani ambapo data ziliweza kukusanywa kwa kutumia mbinu ya udurusu wa vitabu.
Mtafiti alipitia maandishi mbalimbali kutoka katika vitabu teule vya hadithi fupi pamoja na wavuti ili kupata maelezo yaliyotosha kukidhi haja ya Makala haya.
Utafiti huu uliongozwa na Nadharia ya Mapatano ya Mwitikio wa Msomaji (NMMM) yake Rosenblatt (1995) ili kumsaidia mtafiti kupambanua sifa za kibibliotherapia katika mandhari.
Matokeo ya utafiti huu yalibaini kwamba bibliotherapia hujitokeza katika mandhari yanayosawiriwa katika diwani hizi za hadithi fupi teule.
Related Results
Uchanganuzi wa Maudhui na Wahusika Kibibliotherapia katika Hadithi Fupi Teule za Kiswahili
Uchanganuzi wa Maudhui na Wahusika Kibibliotherapia katika Hadithi Fupi Teule za Kiswahili
Bibliotherapia ni mbinu muhimu inayoweza kutumiwa kama kipumuo kwa vijana kwa baadhi ya matatizo
yanayowakumba katika kipindi fulani cha maisha yao. Bibliotherapia humsaidia ...
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose
Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Penina Muhando ni mwanazuoni aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya fasihi na lugha ya Kiswahili. Mchango wake umeonekana hasa katika tamthiliya, sanaa za maonyesho pamoja na ...
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa v...
Mifumo ya Kijamii katika Tamthilia Teule za Kiswahili
Mifumo ya Kijamii katika Tamthilia Teule za Kiswahili
Mifumo ya kijamii inajitokeza waziwazi katika fasihi andishi ya Kiswahili. Mifumo hiyo huwakilisha matukio ya fasihi andishi na jinsi yanavyoichora na kwa mapana kuwa kioo cha jami...
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili

Uundaji wa Kauli ya Kutendwa Katika Lugha ya Kiswahili na ya Kiarabu
Uundaji wa Kauli ya Kutendwa Katika Lugha ya Kiswahili na ya Kiarabu
Utafiti huu unalenga kuchanganua na kuchunguza uundaji wa kauli ya kutendwa katika lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiarabu, na mtafiti kutokana na ufundishaji wake wa kozi za sarufi...