Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Ujitokezaji wa Ruwaza ya Shujaa wa Kiafrika katika Kisakale cha Mukwavinyika wa Jamii ya Wahehe

View through CrossRef
Makala haya yamechunguza ujitokezaji wa ruwaza ya shujaa wa Kiafrika katika Kisakale cha Mukwavinyika wa jamii ya Wahehe. Tafiti tangulizi zinaonesha kuwa tendi na hadithi nyingi za mashujaa duniani huwa na ruwaza fulani inayofanana na safari yao (mashujaa) hupitia karibu hatua zilezile. Suala hili linatupatia muundo wa msingi ambao ni wa kiulimwengu na wenye kutabirika. Hata hivyo, suala hilo limeibua maswali kama vile: je, kama ruwaza za mashujaa kote ulimwenguni zinafanana, jamii hizo zinafanana pia? Kama hazifanani, je, jamii zinazotofautiana katika nyanja mbalimbali za maisha zinawezaje kuwa na ruwaza za mashujaa zinazofanana kwa kila hali? Hivyo, kilichofanyika katika makala haya ni kubainisha ruwaza ya shujaa kama inavyojitokeza katika Kisakale cha Mukwavinyika ili kubaini umbile lake ni la namna gani. Katika kufanikisha hilo, makala haya yameongozwa na Nadharia ya Ruwaza ya Shujaa kwa mujibu wa Raglan (1934). Aidha, data zake zimekusanywa kwa njia ya usaili na uchambuzi matini kutoka katika kijiji cha Kalenga kilichopo mkoani Iringa. Makala haya yamebaini kuwa ruwaza ya shujaa iliyojitokeza katika Kisakale cha Mukwavinyika ina hatua 15 alizozipitia shujaa katika makuzi yake. Pia, imebainika kuwa mashujaa wa Kiafrika wana ruwaza zenye vipengele vinavyofanana na vinavyotofautiana na vya mashujaa wengine ulimwenguni.
University of Dar es Salaam
Title: Ujitokezaji wa Ruwaza ya Shujaa wa Kiafrika katika Kisakale cha Mukwavinyika wa Jamii ya Wahehe
Description:
Makala haya yamechunguza ujitokezaji wa ruwaza ya shujaa wa Kiafrika katika Kisakale cha Mukwavinyika wa jamii ya Wahehe.
Tafiti tangulizi zinaonesha kuwa tendi na hadithi nyingi za mashujaa duniani huwa na ruwaza fulani inayofanana na safari yao (mashujaa) hupitia karibu hatua zilezile.
Suala hili linatupatia muundo wa msingi ambao ni wa kiulimwengu na wenye kutabirika.
Hata hivyo, suala hilo limeibua maswali kama vile: je, kama ruwaza za mashujaa kote ulimwenguni zinafanana, jamii hizo zinafanana pia? Kama hazifanani, je, jamii zinazotofautiana katika nyanja mbalimbali za maisha zinawezaje kuwa na ruwaza za mashujaa zinazofanana kwa kila hali? Hivyo, kilichofanyika katika makala haya ni kubainisha ruwaza ya shujaa kama inavyojitokeza katika Kisakale cha Mukwavinyika ili kubaini umbile lake ni la namna gani.
Katika kufanikisha hilo, makala haya yameongozwa na Nadharia ya Ruwaza ya Shujaa kwa mujibu wa Raglan (1934).
Aidha, data zake zimekusanywa kwa njia ya usaili na uchambuzi matini kutoka katika kijiji cha Kalenga kilichopo mkoani Iringa.
Makala haya yamebaini kuwa ruwaza ya shujaa iliyojitokeza katika Kisakale cha Mukwavinyika ina hatua 15 alizozipitia shujaa katika makuzi yake.
Pia, imebainika kuwa mashujaa wa Kiafrika wana ruwaza zenye vipengele vinavyofanana na vinavyotofautiana na vya mashujaa wengine ulimwenguni.

Related Results

Ubainishaji wa Vipengele vya Ujumi wa Kiafrika na Athari yake katika Ushairi wa Kiswahili: Uchunguzi wa Ushairi wa Bongo Fleva
Ubainishaji wa Vipengele vya Ujumi wa Kiafrika na Athari yake katika Ushairi wa Kiswahili: Uchunguzi wa Ushairi wa Bongo Fleva
Makala haya yalichunguza ujitokezaji wa ujumi wa Kiafrika katika ushairi wa Kiswahili wa Bongo Fleva pamoja na athari yake katika ushairi huo. Tafiti kuhusu vipengele vya ujumi wa ...
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Lugha ni chombo cha kipekee kinachofinyangwa kuwasilisha taswira ya masuala changamano katika jamii. Matokeo haya ya lugha ni fasihi, ambayo ni kioo cha jamii. Biblia Takatifu ni k...
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Maumbile ya binadamu yamechukua mikondo miwili; mwanamume na mwanamke. Jamii tofauti hutoa majukumu kwa kuzingatia migao hii miwili. Hivi ni kusema kuwa, shughuli za mtu katika jam...
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Makala haya yamekusudia kuchunguza namna ambavyo mabadiliko katika mtaala wa elimu ya msingi yanavyoathiri tathmini katika elimu ya juu. Mabadiliko ya mtaala yanafanyika katika nga...
Ruwaza za Toni katika Vitenzi Visoukomo Changamani vya Kirombo
Ruwaza za Toni katika Vitenzi Visoukomo Changamani vya Kirombo
Makala haya yanahusu uchanganuzi wa ruwaza za Toni katika Vitenzi visoukomo changamani vya Kirombo. Lengo kuu la makala haya ni kuchunguza ruwaza ya ujitokezaji wa toni katika vite...
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
Lugha ni chombo maalum katika ustawishaji na uimarishaji wa rasilimali za mwanadamu. Pia, ni wenzo unaohimili sera ambazo hulenga katika kutimiza matarajio ya kitaifa katika nchi y...

Back to Top