Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Matumizi ya Lugha za Kiafrika Kuelekeza Wasichana Katika Masuala ya Ndoa: Mfano wa Matumizi ya Semi Katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda

View through CrossRef
Katika makala haya, mtafiti anaeleza jinsi lugha inavyotumiwa na wazazi katika shughuli ya kuelekeza mabinti zao katika maisha ya ndoa. Anafanya hivyo kwa kurejelea ndoa za kijadi katika jamii ya Wamasaaba nchini Uganda. Kwa kurejelea jamii hii, mtafiti anaeleza namna wazazi wanavyotumia lugha kuelekeza mabinti zao katika mambo yanayopelekea ndoa zao kudumu.  Mtafiti alinukuu baadhi ya semi ambazo zinasemekana kuwa zinatumiwa na wazazi katika shughuli hiyo. Ni kweli kwamba lugha yoyote ile huwa inafanya kazi nyingi sana kama vile kutumbuiza watu, kutongozana, kugombana, kufundisha, kuelekeza, n.k. Hii ni kwa sababu bila kutumia lugha, mtu hawezi akaimba wimbo, akagombana, akafundisha, na akaelekeza. Hata hivyo, katika makala hii, mtafiti anajikita kwenye mchango wa lugha katika maisha ya ndoa. Katika kazi hii, mtafiti anazingatia semi mbalimbali ambazo Wamasaaba huzitumia kwa ajili ya kuelekeza mabinti zao katika masuala ya ndoa. Katika jamii mbalimbali, watu hutumia lugha kutekeleza jambo hili. Jamii hasa zile za jadi zilitumia lugha kuelekeza mabinti katika mambo ya ndoa. Kuna namna ambavyo walisuka lugha kisanaa kwa lengo la kufunza mabinti maisha ya ndoa. Hii ni kwa sababu hawakuwa na madarasa maalumu mwa kufunzia watoto wao kama ilivyo sasa. Katika jamii hizo, shule zenyewe hazikuwepo. Kwa hiyo, lugha ndiyo ilikuwa chombo maalumu cha kufunzia watoto. Matumizi ya lugha yalidhamiria kukuza mabinti ambao wangevumilia maisha ya ndoa. Hivyo basi, katika kazi hii, mtafiti anajikita katika matumizi ya lugha na kueleza jinsi Wamasaaba wanavyotumia semi mbalimbali kuelekeza mabinti zao katika masuala ya ndoa.
East African Nature and Science Organization
Title: Matumizi ya Lugha za Kiafrika Kuelekeza Wasichana Katika Masuala ya Ndoa: Mfano wa Matumizi ya Semi Katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda
Description:
Katika makala haya, mtafiti anaeleza jinsi lugha inavyotumiwa na wazazi katika shughuli ya kuelekeza mabinti zao katika maisha ya ndoa.
Anafanya hivyo kwa kurejelea ndoa za kijadi katika jamii ya Wamasaaba nchini Uganda.
Kwa kurejelea jamii hii, mtafiti anaeleza namna wazazi wanavyotumia lugha kuelekeza mabinti zao katika mambo yanayopelekea ndoa zao kudumu.
  Mtafiti alinukuu baadhi ya semi ambazo zinasemekana kuwa zinatumiwa na wazazi katika shughuli hiyo.
Ni kweli kwamba lugha yoyote ile huwa inafanya kazi nyingi sana kama vile kutumbuiza watu, kutongozana, kugombana, kufundisha, kuelekeza, n.
k.
Hii ni kwa sababu bila kutumia lugha, mtu hawezi akaimba wimbo, akagombana, akafundisha, na akaelekeza.
Hata hivyo, katika makala hii, mtafiti anajikita kwenye mchango wa lugha katika maisha ya ndoa.
Katika kazi hii, mtafiti anazingatia semi mbalimbali ambazo Wamasaaba huzitumia kwa ajili ya kuelekeza mabinti zao katika masuala ya ndoa.
Katika jamii mbalimbali, watu hutumia lugha kutekeleza jambo hili.
Jamii hasa zile za jadi zilitumia lugha kuelekeza mabinti katika mambo ya ndoa.
Kuna namna ambavyo walisuka lugha kisanaa kwa lengo la kufunza mabinti maisha ya ndoa.
Hii ni kwa sababu hawakuwa na madarasa maalumu mwa kufunzia watoto wao kama ilivyo sasa.
Katika jamii hizo, shule zenyewe hazikuwepo.
Kwa hiyo, lugha ndiyo ilikuwa chombo maalumu cha kufunzia watoto.
Matumizi ya lugha yalidhamiria kukuza mabinti ambao wangevumilia maisha ya ndoa.
Hivyo basi, katika kazi hii, mtafiti anajikita katika matumizi ya lugha na kueleza jinsi Wamasaaba wanavyotumia semi mbalimbali kuelekeza mabinti zao katika masuala ya ndoa.

Related Results

Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Matumizi ya Lugha Kwenye Malezi ya Watoto: Mfano wa Matumizi ya Semi Katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda
Matumizi ya Lugha Kwenye Malezi ya Watoto: Mfano wa Matumizi ya Semi Katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda
Katika makala haya, mtafiti anaeleza jinsi lugha inavyotumiwa na wazazi katika shughuli yao ya kulea watoto. Alifanya hivyo kwa kurejelea malezi ya watoto katika jamii ya Wamasaaba...
Ubainishaji wa Vipengele vya Ujumi wa Kiafrika na Athari yake katika Ushairi wa Kiswahili: Uchunguzi wa Ushairi wa Bongo Fleva
Ubainishaji wa Vipengele vya Ujumi wa Kiafrika na Athari yake katika Ushairi wa Kiswahili: Uchunguzi wa Ushairi wa Bongo Fleva
Makala haya yalichunguza ujitokezaji wa ujumi wa Kiafrika katika ushairi wa Kiswahili wa Bongo Fleva pamoja na athari yake katika ushairi huo. Tafiti kuhusu vipengele vya ujumi wa ...
Matumizi ya Kiswahili katika Mawasiliano na Uongozi wa Kidini katika Shule za Upili Nchini Kenya: Mfano wa Shule ya Wasichana ya Itigo
Matumizi ya Kiswahili katika Mawasiliano na Uongozi wa Kidini katika Shule za Upili Nchini Kenya: Mfano wa Shule ya Wasichana ya Itigo
Utafiti huu ulichunguza matumizi ya Kiswahili katika mawasiliano na uongozi wa kidini katika shule ya wasichana ya Itigo. Ulilenga kubaini jinsi lugha ya Kiswahili hutumika katika ...
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
Lugha ni chombo maalum katika ustawishaji na uimarishaji wa rasilimali za mwanadamu. Pia, ni wenzo unaohimili sera ambazo hulenga katika kutimiza matarajio ya kitaifa katika nchi y...
Mnyambuliko wa Vitenzi Katika Lugha za Kiafrika: Mfano katika Lugha ya Kimasaaba Nchini Uganda
Mnyambuliko wa Vitenzi Katika Lugha za Kiafrika: Mfano katika Lugha ya Kimasaaba Nchini Uganda
Katika makala hii, mtafiti anaeleza jinsi vitenzi vya lugha za Kiafrika vinavyonyambuliwa na kuleta maana tofauti tofauti. Anafanya hivyo kwa kurejelea Kimasaaba ambayo ni lugha in...
Nafasi ya Ikolojia ya Lugha katika Mtagusano wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Dini katika Kaunti ya Bungoma
Nafasi ya Ikolojia ya Lugha katika Mtagusano wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Dini katika Kaunti ya Bungoma
Nyanja mbalimbali katika jamii hutegemea matumizi ya lugha. Hali hii huzua changamoto ya namna ya kutumia raslimali za lugha zinazopatikana katika jamiilugha fulani. Juhudi ya kufa...
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Lugha ni chombo cha kipekee kinachofinyangwa kuwasilisha taswira ya masuala changamano katika jamii. Matokeo haya ya lugha ni fasihi, ambayo ni kioo cha jamii. Biblia Takatifu ni k...

Back to Top