Javascript must be enabled to continue!
Upole katika Manifesto ya Kenya Kwanza
View through CrossRef
Upole ni suala ambalo limeshughulikiwa na wanazuoni mbalimbali katika tamthilia, vipindi vya runinga, mawasiliano ya bodaboda na abiria na mazungumzo ya redioni. Makala hii inadhamiria kubainisha mchango wa upole katika kufanikisha manifesto ya Kenya Kwanza katika uchaguzi mkuu wa 2022. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya upole ya Brown na Levinson (1987). Katika utafiti huu sampuli lengwa ya manifesto ya Kenya Kwanza ilihusishwa. Data ya utafiti huu ilipatikana kwa kusoma kwa makini manifesto ya Kenya Kwanza na kunakili chini kauli zote zenye upole na kuzisimba. Kisha data hii ilichanganuliwa kwa njia ya maelezo kwa kuongozwa na mkikakati minne ya upole ambayo ni pamoja na: mikakati chanya ya upole, mikakati hasi ya upole, mikakati ndani ya rekodi ya upole na mikakati nje ya rekodi ya upole. Utafiti huu utasaidia kuelewa upole kama mbinu iliyotumiwa kufanikisha kampeni za uchaguzi mkuu wa 2022 na hivyo utafiti huu utawasaidia wanaounda sera zinazohusiana na uchaguzi kuunda sera zinazodhibiti matumizi ya lugha katika kampeni. Pia utafiti huu utasaidia kwa kuipanua nadharia ya upole kimawanda kwa kuichangizia kimaarifa
East African Nature and Science Organization
Title: Upole katika Manifesto ya Kenya Kwanza
Description:
Upole ni suala ambalo limeshughulikiwa na wanazuoni mbalimbali katika tamthilia, vipindi vya runinga, mawasiliano ya bodaboda na abiria na mazungumzo ya redioni.
Makala hii inadhamiria kubainisha mchango wa upole katika kufanikisha manifesto ya Kenya Kwanza katika uchaguzi mkuu wa 2022.
Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya upole ya Brown na Levinson (1987).
Katika utafiti huu sampuli lengwa ya manifesto ya Kenya Kwanza ilihusishwa.
Data ya utafiti huu ilipatikana kwa kusoma kwa makini manifesto ya Kenya Kwanza na kunakili chini kauli zote zenye upole na kuzisimba.
Kisha data hii ilichanganuliwa kwa njia ya maelezo kwa kuongozwa na mkikakati minne ya upole ambayo ni pamoja na: mikakati chanya ya upole, mikakati hasi ya upole, mikakati ndani ya rekodi ya upole na mikakati nje ya rekodi ya upole.
Utafiti huu utasaidia kuelewa upole kama mbinu iliyotumiwa kufanikisha kampeni za uchaguzi mkuu wa 2022 na hivyo utafiti huu utawasaidia wanaounda sera zinazohusiana na uchaguzi kuunda sera zinazodhibiti matumizi ya lugha katika kampeni.
Pia utafiti huu utasaidia kwa kuipanua nadharia ya upole kimawanda kwa kuichangizia kimaarifa.
Related Results
Mikakati ya Upole Katika Mawasiliano ya Wahudumu wa Magari ya Uchukuzi na Abiria katika lugha ya Kikamba.
Mikakati ya Upole Katika Mawasiliano ya Wahudumu wa Magari ya Uchukuzi na Abiria katika lugha ya Kikamba.
Upole ni hali ya msemaji kudhihirisha kuwa anajali hisia na mahitaji ya msikilizaji katika mazungumzo. Mikakati ya upole hutumiwa na washiriki wa mazungumzo kulainisha na kufanikis...
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Makala haya yamekusudia kuchunguza namna ambavyo mabadiliko katika mtaala wa elimu ya msingi yanavyoathiri tathmini katika elimu ya juu. Mabadiliko ya mtaala yanafanyika katika nga...
Mchango wa Mikakati ya Upole Katika Mazungumzo ya ibada ya Mazishi katika Lugha ya Kikabrasi
Mchango wa Mikakati ya Upole Katika Mazungumzo ya ibada ya Mazishi katika Lugha ya Kikabrasi
Swahili
Suala la upole limetafitiwa na wasomi wengi kwenye mawasiliano, ikiwemo mazungumzo ya abiria na wahudumu wa magari ya uchukuzi kwa lugha ya Kikamba. Hata hivyo, utafiti huu...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu

Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Lugha ni chombo cha kipekee kinachofinyangwa kuwasilisha taswira ya masuala changamano katika jamii. Matokeo haya ya lugha ni fasihi, ambayo ni kioo cha jamii. Biblia Takatifu ni k...
Ujitokezaji wa Viarudhi vya Kifonolojia katika Kihaya: Uchunguzi Kifani wa Toni katika Lahaja ya Kihamba
Ujitokezaji wa Viarudhi vya Kifonolojia katika Kihaya: Uchunguzi Kifani wa Toni katika Lahaja ya Kihamba
Fonolojia ni taaluma iliyosheheni viarudhi au vipambasauti kama ambavyo wataalamu wengine huviita. Miongoni mwake ni toni, lafudhi, mkazo, nguvumsikiko, usilabi, kiimbo, unguvunguv...
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
Lugha ni chombo maalum katika ustawishaji na uimarishaji wa rasilimali za mwanadamu. Pia, ni wenzo unaohimili sera ambazo hulenga katika kutimiza matarajio ya kitaifa katika nchi y...