Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Mchango wa Mikakati ya Upole Katika Mazungumzo ya ibada ya Mazishi katika Lugha ya Kikabrasi

View through CrossRef
Swahili Suala la upole limetafitiwa na wasomi wengi kwenye mawasiliano, ikiwemo mazungumzo ya abiria na wahudumu wa magari ya uchukuzi kwa lugha ya Kikamba. Hata hivyo, utafiti huu haukuweka wazi udhihirikaji na matumizi ya mikakati ya upole katika muktadha wa ibada ya mazishi katika lugha ya Kikabrasi na umuhimu wake kwenye mawasiliano. Makala haya yanachunguza udhihirikaji, matumizi, sababu, na umuhimu wa mikakati hii ya upole kwenye hafla za mazishi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Brown na Levinson (1987). Sampuli ilichaguliwa kimakusudi kutoka hafla kumi na tano za ibada ya mazishi katika kitongoji cha Namanja, eneo bunge la Malava, Kakamega, kwa kuzingatia lugha ya Kikabrasi ikilinganishwa na Kiswahili. Usemi wa wanenaji wa hirimu zote, bila ubaguzi wa jinsia, ulirekodiwa kwa idhini ya utawala wa kijiji na kuwekwa katika kategoria za mikakati ya upole kama ilivyopendekezwa na Brown na Levinson. Matokeo yanaonyesha wazungumzaji hutumia mikakati ya upole, hasa mkakati hasi na mkakati nje ya rekodi, kwa sababu za kunasa hisia za wasikilizaji na kuhifadhi sitara zao, hasa waliofiwa, bila kudhuru sitara zao. Utafiti huu utawezesha wasikilizaji na waombolezaji kupata marifa na ustadi katika kuwahutubia watu wa tabaka mbalimbali katika jamii changamano, na kuongeza data kwa uga wa isimu. Unapendekeza uchunguzi zaidi wa changamoto za mikakati ya upole katika mawasiliano, hasa katika sherehe ya kumbukumbu ya mashujaa na Jukwaa la Facebook.English The concept of politeness has been widely studied in the field of communication. For instance, the study of politeness in the transport sector among the passengers and the service providers in the Kamba speaking language. However, little attention has been given to the role of politeness strategies in funeral services. This study seeks to address this gap by investigating how politeness strategies are employed in funeral service communication among Kabrasi speakers, guided by Brown and Levinson’s (1987) politeness theory. The sample was purposively drawn from fifteen funeral ceremonies in Namanja Sublocation, Malava Constituency, Kakamega County, with a focus on Kabrasi language use in comparison to Swahili. Speech from participants of all ages and both genders was recorded with the approval of village administration and analysed according to Brown and Levinson’s typology of politeness strategies. Findings indicate that speakers predominantly employ negative and off-record strategies for the purpose of attracting mourners’ attention and protecting their positive image both self and the listeners. Also, speakers use positive and negative politeness strategies more than other politeness strategies for the purpose of condoling and giving message of hope to the bereaved without interfering with their positive image. The study provides insights for mourners and community members on effective communication across diverse social groups in complex communities. It also contributes valuable data to the field of linguistics. The study recommends further research on the challenges of applying politeness strategies in other communicative contexts, such as Mashujaa public holiday and online platforms like Facebook.Keywords: Face, Kabrasi, politeness strategies, widows
Title: Mchango wa Mikakati ya Upole Katika Mazungumzo ya ibada ya Mazishi katika Lugha ya Kikabrasi
Description:
Swahili Suala la upole limetafitiwa na wasomi wengi kwenye mawasiliano, ikiwemo mazungumzo ya abiria na wahudumu wa magari ya uchukuzi kwa lugha ya Kikamba.
Hata hivyo, utafiti huu haukuweka wazi udhihirikaji na matumizi ya mikakati ya upole katika muktadha wa ibada ya mazishi katika lugha ya Kikabrasi na umuhimu wake kwenye mawasiliano.
Makala haya yanachunguza udhihirikaji, matumizi, sababu, na umuhimu wa mikakati hii ya upole kwenye hafla za mazishi.
Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Brown na Levinson (1987).
Sampuli ilichaguliwa kimakusudi kutoka hafla kumi na tano za ibada ya mazishi katika kitongoji cha Namanja, eneo bunge la Malava, Kakamega, kwa kuzingatia lugha ya Kikabrasi ikilinganishwa na Kiswahili.
Usemi wa wanenaji wa hirimu zote, bila ubaguzi wa jinsia, ulirekodiwa kwa idhini ya utawala wa kijiji na kuwekwa katika kategoria za mikakati ya upole kama ilivyopendekezwa na Brown na Levinson.
Matokeo yanaonyesha wazungumzaji hutumia mikakati ya upole, hasa mkakati hasi na mkakati nje ya rekodi, kwa sababu za kunasa hisia za wasikilizaji na kuhifadhi sitara zao, hasa waliofiwa, bila kudhuru sitara zao.
Utafiti huu utawezesha wasikilizaji na waombolezaji kupata marifa na ustadi katika kuwahutubia watu wa tabaka mbalimbali katika jamii changamano, na kuongeza data kwa uga wa isimu.
Unapendekeza uchunguzi zaidi wa changamoto za mikakati ya upole katika mawasiliano, hasa katika sherehe ya kumbukumbu ya mashujaa na Jukwaa la Facebook.
English The concept of politeness has been widely studied in the field of communication.
For instance, the study of politeness in the transport sector among the passengers and the service providers in the Kamba speaking language.
However, little attention has been given to the role of politeness strategies in funeral services.
This study seeks to address this gap by investigating how politeness strategies are employed in funeral service communication among Kabrasi speakers, guided by Brown and Levinson’s (1987) politeness theory.
The sample was purposively drawn from fifteen funeral ceremonies in Namanja Sublocation, Malava Constituency, Kakamega County, with a focus on Kabrasi language use in comparison to Swahili.
Speech from participants of all ages and both genders was recorded with the approval of village administration and analysed according to Brown and Levinson’s typology of politeness strategies.
Findings indicate that speakers predominantly employ negative and off-record strategies for the purpose of attracting mourners’ attention and protecting their positive image both self and the listeners.
Also, speakers use positive and negative politeness strategies more than other politeness strategies for the purpose of condoling and giving message of hope to the bereaved without interfering with their positive image.
The study provides insights for mourners and community members on effective communication across diverse social groups in complex communities.
It also contributes valuable data to the field of linguistics.
The study recommends further research on the challenges of applying politeness strategies in other communicative contexts, such as Mashujaa public holiday and online platforms like Facebook.
Keywords: Face, Kabrasi, politeness strategies, widows.

Related Results

Mikakati ya Upole Katika Mawasiliano ya Wahudumu wa Magari ya Uchukuzi na Abiria katika lugha ya Kikamba.
Mikakati ya Upole Katika Mawasiliano ya Wahudumu wa Magari ya Uchukuzi na Abiria katika lugha ya Kikamba.
Upole ni hali ya msemaji kudhihirisha kuwa anajali hisia na mahitaji ya msikilizaji katika mazungumzo. Mikakati ya upole hutumiwa na washiriki wa mazungumzo kulainisha na kufanikis...
Matumizi ya Lugha Kwenye Malezi ya Watoto: Mfano wa Matumizi ya Semi Katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda
Matumizi ya Lugha Kwenye Malezi ya Watoto: Mfano wa Matumizi ya Semi Katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda
Katika makala haya, mtafiti anaeleza jinsi lugha inavyotumiwa na wazazi katika shughuli yao ya kulea watoto. Alifanya hivyo kwa kurejelea malezi ya watoto katika jamii ya Wamasaaba...
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Makala haya yamekusudia kuchunguza namna ambavyo mabadiliko katika mtaala wa elimu ya msingi yanavyoathiri tathmini katika elimu ya juu. Mabadiliko ya mtaala yanafanyika katika nga...
Matumizi ya Lugha katika Tamthiliya ya ( Sadaka ya John Okello )
Matumizi ya Lugha katika Tamthiliya ya ( Sadaka ya John Okello )
Kipengele hiki hakipatikani katika lugha zote (bonyeza chache tu). Grafu iliyotangulia Ni ngapi huduma hii haipatikani katika lugha zote. Chini ni orodha ya kurasa zetu maarufu za ...
Mustakabali wa Kiswahili kama Lugha ya Kufundishia Nchini Tanzania: Uhakiki wa Maudhui ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014
Mustakabali wa Kiswahili kama Lugha ya Kufundishia Nchini Tanzania: Uhakiki wa Maudhui ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014
Msingi wa makala haya ni “Sera ya Elimu na Mafunzo” (SEM, 2014). Makala yanahakiki nafasi ya lugha ya Kiswahili kwenye Sera ya Elimu na Mafunzo nchini Tanzania na mustakabali wake ...
Uambikaji wa Viambishi Ngeli katika Nomino Sahili Zinazorejelea Ndugu na Maana yake katika Sarufi ya Kiswahili
Uambikaji wa Viambishi Ngeli katika Nomino Sahili Zinazorejelea Ndugu na Maana yake katika Sarufi ya Kiswahili
Nomino sahili ni maneno ambayo kimofolojia yameundwa na mofu huru moja. Pia, kisematiki, maneno haya yana maana zake katika kamusi. Licha ya kuwa na sifa hizi, uambikaji wa viambis...
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Maumbile ya binadamu yamechukua mikondo miwili; mwanamume na mwanamke. Jamii tofauti hutoa majukumu kwa kuzingatia migao hii miwili. Hivi ni kusema kuwa, shughuli za mtu katika jam...
Mikakati ya Urekebu wa Kiswahili kama Lugha Rasmi Nchini Kenya
Mikakati ya Urekebu wa Kiswahili kama Lugha Rasmi Nchini Kenya
Makala haya yanajadili jinsi Kiswahili kilivyokubalika kama lugha rasmi nchini Kenya baada ya kuidhinishwa kwa Katiba ya 2010, na maswali yaliyoibuka kuhusu uwezo wake katika mawas...

Back to Top