Javascript must be enabled to continue!
Unyambuaji wa Kitenzi na Athari Zake katika Usimbaji wa Mada na Fokasi katika Sentensi za Kiswahili
View through CrossRef
Mada na fokasi ni viambajengo vya sentensi za Kiswahili kwa mkabala wa kipragmatiki. Mada hutokea kabla ya kitenzi ilhali fokasi hutokea mara baada ya kitenzi. Hata hivyo, unyambuaji wa kitenzi husababisha upanguaji, uongezaji au uondoaji wa viambajengo vya kabla au baada ya kitenzi. Kwa hiyo, lengo la makala haya ni kupambanua athari za unyambuaji wa kitenzi katika usimbaji wa mada na fokasi katika sentensi za Kiswahili. Data za makala haya zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya upitiaji wa nyaraka kutoka kitabu cha Maendeleo ya Uhusika kilichoandikwa na Khamis (2008). Data ya utafiti huu imechambuliwa kwa mkabala wa kitaamuli. Aidha, uchanganuzi wa data uliongozwa na Nadharia ya Upanguaji wa Umbo la Kifonetiki ya Kidwai (1999). Utafiti huu umebaini kuwa unyambuaji wa kitenzi husababisha upanguaji wa mada na fokasi katika sentensi. Mathalani, mada na fokasi husimbwa katika viambajengo vilivyobakia katika sentensi baada ya unyambuaji wa utendano na utendeka. Katika unyambuaji wa utendea, fokasi huhamia kwenye kiambajengo kilichoongezeka. Kwa upande wa unyambuaji tendeshi, kiambajengo kinachoongezwa katika utendeshi husimbwa kama mada. Vilevile, utendwa hubadili viambajengo vilivyokuwa mada kuwa fokasi na kinyume chake. Utafiti mwingine unaweza kuchunguza usimbaji wa fokasi katika utendua, utendama, utendata au mwambatano wa kauli zaidi ya moja katika kitenzi. Topic and focus are pragmatic constituents in Swahili sentences. Topic precedes the verb, while focus appears immediately after verb. However, Swahili verbal extensions lead to change in the position of verbal arguments, an increase in the number of verbal arguments and a reduction in the number of verbal arguments. The purpose of this paper was to examine the effect of verbal extensions on encoding topic and focus in Swahili sentences. Documentary review was used to collect data from a book entitled ‘Maendeleo ya Uhusika’ by Khamis (2008). The data was analyzed using a qualitative approach. The study was guided by Phonetic Form Scrambling Theory by Kidwai (1999). The fundings of this study show change in the position of topic and focus after verbal extension have been added in Swahili sentences. For example, in reciprocal and stative constructions, topic and focus are encoded in remaining constituents after some of them have been dropped. In addition, the applicative verb encodes new focus, while the causative encodes a new topic. Furthermore, in the passive verb extension, topic changes into focus, and vice versa. The study suggests further research into other extensions such as the reversive, contactive and positional. A study could also be done on combined verb extensions in Swahili sentences.
University of Dar es Salaam
Title: Unyambuaji wa Kitenzi na Athari Zake katika Usimbaji wa Mada na Fokasi katika Sentensi za Kiswahili
Description:
Mada na fokasi ni viambajengo vya sentensi za Kiswahili kwa mkabala wa kipragmatiki.
Mada hutokea kabla ya kitenzi ilhali fokasi hutokea mara baada ya kitenzi.
Hata hivyo, unyambuaji wa kitenzi husababisha upanguaji, uongezaji au uondoaji wa viambajengo vya kabla au baada ya kitenzi.
Kwa hiyo, lengo la makala haya ni kupambanua athari za unyambuaji wa kitenzi katika usimbaji wa mada na fokasi katika sentensi za Kiswahili.
Data za makala haya zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya upitiaji wa nyaraka kutoka kitabu cha Maendeleo ya Uhusika kilichoandikwa na Khamis (2008).
Data ya utafiti huu imechambuliwa kwa mkabala wa kitaamuli.
Aidha, uchanganuzi wa data uliongozwa na Nadharia ya Upanguaji wa Umbo la Kifonetiki ya Kidwai (1999).
Utafiti huu umebaini kuwa unyambuaji wa kitenzi husababisha upanguaji wa mada na fokasi katika sentensi.
Mathalani, mada na fokasi husimbwa katika viambajengo vilivyobakia katika sentensi baada ya unyambuaji wa utendano na utendeka.
Katika unyambuaji wa utendea, fokasi huhamia kwenye kiambajengo kilichoongezeka.
Kwa upande wa unyambuaji tendeshi, kiambajengo kinachoongezwa katika utendeshi husimbwa kama mada.
Vilevile, utendwa hubadili viambajengo vilivyokuwa mada kuwa fokasi na kinyume chake.
Utafiti mwingine unaweza kuchunguza usimbaji wa fokasi katika utendua, utendama, utendata au mwambatano wa kauli zaidi ya moja katika kitenzi.
Topic and focus are pragmatic constituents in Swahili sentences.
Topic precedes the verb, while focus appears immediately after verb.
However, Swahili verbal extensions lead to change in the position of verbal arguments, an increase in the number of verbal arguments and a reduction in the number of verbal arguments.
The purpose of this paper was to examine the effect of verbal extensions on encoding topic and focus in Swahili sentences.
Documentary review was used to collect data from a book entitled ‘Maendeleo ya Uhusika’ by Khamis (2008).
The data was analyzed using a qualitative approach.
The study was guided by Phonetic Form Scrambling Theory by Kidwai (1999).
The fundings of this study show change in the position of topic and focus after verbal extension have been added in Swahili sentences.
For example, in reciprocal and stative constructions, topic and focus are encoded in remaining constituents after some of them have been dropped.
In addition, the applicative verb encodes new focus, while the causative encodes a new topic.
Furthermore, in the passive verb extension, topic changes into focus, and vice versa.
The study suggests further research into other extensions such as the reversive, contactive and positional.
A study could also be done on combined verb extensions in Swahili sentences.
Related Results
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose
Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Mikabala Mbalimbali ya Uchanganuzi wa Sentensi Changamano za Kiswahili katika Vitabu vya Kiada vya Shule za Sekondari
Mikabala Mbalimbali ya Uchanganuzi wa Sentensi Changamano za Kiswahili katika Vitabu vya Kiada vya Shule za Sekondari
Rasimu ya mtalaa mpya wa elimu nchini Kenya imebaini vipengele anavyopaswa kuzingatishwa mwanafunzi ili kuimarisha uwezo na maarifa yake katika ujifunzaji wa Kiswahili. Hali hii im...
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa v...
Ubainishaji wa Vipengele vya Ujumi wa Kiafrika na Athari yake katika Ushairi wa Kiswahili: Uchunguzi wa Ushairi wa Bongo Fleva
Ubainishaji wa Vipengele vya Ujumi wa Kiafrika na Athari yake katika Ushairi wa Kiswahili: Uchunguzi wa Ushairi wa Bongo Fleva
Makala haya yalichunguza ujitokezaji wa ujumi wa Kiafrika katika ushairi wa Kiswahili wa Bongo Fleva pamoja na athari yake katika ushairi huo. Tafiti kuhusu vipengele vya ujumi wa ...
Uambikaji wa Viambishi Ngeli katika Nomino Sahili Zinazorejelea Ndugu na Maana yake katika Sarufi ya Kiswahili
Uambikaji wa Viambishi Ngeli katika Nomino Sahili Zinazorejelea Ndugu na Maana yake katika Sarufi ya Kiswahili
Nomino sahili ni maneno ambayo kimofolojia yameundwa na mofu huru moja. Pia, kisematiki, maneno haya yana maana zake katika kamusi. Licha ya kuwa na sifa hizi, uambikaji wa viambis...
Nafasi ya Kiswahili katika Ujenzi wa Utamaduni wa Uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, Kenya
Nafasi ya Kiswahili katika Ujenzi wa Utamaduni wa Uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, Kenya
Swahili
Lengo la makala haya ni kupambanua nafasi ya Kiswahili katika ujenzi wa utamaduni wa uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, nchini Kenya. Uongozi w...

