Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Kupambanua Kanuni Zinazotawala Mageuzi katika Sentensi Sahili ya Ekegusii Language in Kenya.

View through CrossRef
Utafiti huu unalenga kupambanua kanuni zinazotawala mageuzi katika sentensi sahili ya Ekegusii language in Kenya. Nadharia ya Sintaksia Finyizi na Sarufi Geuza Maumbo uliongoza utafiti huu. Utafiti huu ulikuwa wa maktabani, kwa kutumia kifaa cha kudondoa data, vitabu teule vya Ekegusii ulitumika katika kusanya data. Mbinu ya usampulishaji kwa lengo maalum ilitumika kwa lengo la kupata sentensi ambazo hudhihirisha mageuzi. Data iliwasilishwa kwa njia za maelezo. Utafiti huu ulidhihirisha kuwa Ekegusii na sheria na kanuni zinazotawala mageuzi hayo. Mageuzi ya kisintaksia huleta mabadiliko mengi katika sentensi asili. Kanuni geuzi husababisha athari mahsusi katika sentensi kimuundo, kimofolojia na kifonetiki lakini kisemantiki sentensi huwa ni ile ile. Nadharia za Sintaksia Finyizi pamoja na nadharia Sarufi Geuza Maumbo ziliweza kuchanganua sentensi za Ekegusii kwa ukamilifu. Mapendekezo ya utafiti huu ni kufanya aina zingine za mageuzi kama vile, geuzi hamishi swalifu, geuzi hamishi la yambwa tendewa katika lugha hii na hata lugha nyinginezo ili kukuza uwanja wa kisintaksia. Kuna uhamisho unaotokea kwa lugha zingine nasiyo katika Ekegusii. Hizi pia zinaweza kufanyiwa utafiti. Nadharia zilizoongoza utafiti huu ni zile za Sintaksia Finyizi na Sarufi Geuza Maumbo. Tafiti zaidi zinaweza kufanyiwa mada hii kwa kutumia nadharia zingine ili kueleza ikiwa kutakuwa na matokeo tofauti.
Title: Kupambanua Kanuni Zinazotawala Mageuzi katika Sentensi Sahili ya Ekegusii Language in Kenya.
Description:
Utafiti huu unalenga kupambanua kanuni zinazotawala mageuzi katika sentensi sahili ya Ekegusii language in Kenya.
Nadharia ya Sintaksia Finyizi na Sarufi Geuza Maumbo uliongoza utafiti huu.
Utafiti huu ulikuwa wa maktabani, kwa kutumia kifaa cha kudondoa data, vitabu teule vya Ekegusii ulitumika katika kusanya data.
Mbinu ya usampulishaji kwa lengo maalum ilitumika kwa lengo la kupata sentensi ambazo hudhihirisha mageuzi.
Data iliwasilishwa kwa njia za maelezo.
Utafiti huu ulidhihirisha kuwa Ekegusii na sheria na kanuni zinazotawala mageuzi hayo.
Mageuzi ya kisintaksia huleta mabadiliko mengi katika sentensi asili.
Kanuni geuzi husababisha athari mahsusi katika sentensi kimuundo, kimofolojia na kifonetiki lakini kisemantiki sentensi huwa ni ile ile.
Nadharia za Sintaksia Finyizi pamoja na nadharia Sarufi Geuza Maumbo ziliweza kuchanganua sentensi za Ekegusii kwa ukamilifu.
Mapendekezo ya utafiti huu ni kufanya aina zingine za mageuzi kama vile, geuzi hamishi swalifu, geuzi hamishi la yambwa tendewa katika lugha hii na hata lugha nyinginezo ili kukuza uwanja wa kisintaksia.
Kuna uhamisho unaotokea kwa lugha zingine nasiyo katika Ekegusii.
Hizi pia zinaweza kufanyiwa utafiti.
Nadharia zilizoongoza utafiti huu ni zile za Sintaksia Finyizi na Sarufi Geuza Maumbo.
Tafiti zaidi zinaweza kufanyiwa mada hii kwa kutumia nadharia zingine ili kueleza ikiwa kutakuwa na matokeo tofauti.

Related Results

Kuchanganua Aina za Mageuzi katika Maneno ya Sentensi Sahili ya Ekegusii.
Kuchanganua Aina za Mageuzi katika Maneno ya Sentensi Sahili ya Ekegusii.
Utafiti huu unachanganua aina za mageuzi zinazojitokeza katika sentensi sahili ya Ekegusii. Utafiti huu ulihasisiwa na nadharia za Sintaksia Finyizi na Sarufi Geuza Maumbo. Data il...
Kubainisha Kanuni na Sheria Zinazotawala Muundo wa Maneno katika Sentensi Sahili ya Ekegusii.
Kubainisha Kanuni na Sheria Zinazotawala Muundo wa Maneno katika Sentensi Sahili ya Ekegusii.
Utafiti huu unalenga kubainisha kanuni na sheria zinazotawala muundo wa maneno katika sentensi sahili ya Ekegusii. Utafiti huu ulihasisiwa na nadharia ya Sintaksia Finyizi. Utafiti...
Hubungan Perilaku Pola Makan dengan Kejadian Anak Obesitas
Hubungan Perilaku Pola Makan dengan Kejadian Anak Obesitas
<p><em><span style="font-size: 11.0pt; font-family: 'Times New Roman',serif; mso-fareast-font-family: 'Times New Roman'; mso-ansi-language: EN-US; mso-fareast-langua...
Ruwaza za Toni katika Vitenzi Visoukomo Changamani vya Kirombo
Ruwaza za Toni katika Vitenzi Visoukomo Changamani vya Kirombo
Makala haya yanahusu uchanganuzi wa ruwaza za Toni katika Vitenzi visoukomo changamani vya Kirombo. Lengo kuu la makala haya ni kuchunguza ruwaza ya ujitokezaji wa toni katika vite...
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Makala haya yamekusudia kuchunguza namna ambavyo mabadiliko katika mtaala wa elimu ya msingi yanavyoathiri tathmini katika elimu ya juu. Mabadiliko ya mtaala yanafanyika katika nga...
Mikabala Mbalimbali ya Uchanganuzi wa Sentensi Changamano za Kiswahili katika Vitabu vya Kiada vya Shule za Sekondari
Mikabala Mbalimbali ya Uchanganuzi wa Sentensi Changamano za Kiswahili katika Vitabu vya Kiada vya Shule za Sekondari
Rasimu ya mtalaa mpya wa elimu nchini Kenya imebaini vipengele anavyopaswa kuzingatishwa mwanafunzi ili kuimarisha uwezo na maarifa yake katika ujifunzaji wa Kiswahili. Hali hii im...
Unyambuaji wa Kitenzi na Athari Zake katika Usimbaji wa Mada na Fokasi katika Sentensi za Kiswahili
Unyambuaji wa Kitenzi na Athari Zake katika Usimbaji wa Mada na Fokasi katika Sentensi za Kiswahili
Mada na fokasi ni viambajengo vya sentensi za Kiswahili kwa mkabala wa kipragmatiki. Mada hutokea kabla ya kitenzi ilhali fokasi hutokea mara baada ya kitenzi. Hata hivyo, unyambua...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...

Back to Top