Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Mapokezi ya Nomino za Kiswahili katika Ngeli za Nomino za Gᴉrᴉmi

View through CrossRef
Ikisiri Lengo la makala hii ni kuonesha jinsi nomino za Kiswahili zinavyokopwa ili kukidhi mawasiliano katika Gᴉrᴉmi. Nomino (majina) ni miongoni mwa maneno yanayokopwa kutokana na umuhimu wake mkubwa katika lugha na mawasiliano kwa ujumla. Umuhimu huo ni kutambulisha watu, vitu, hali na mahali. Gᴉrᴉmi, kutokana na utangamano wake na Kiswahili, kinakopa na kutohoa nomino tofauti kwa lengo la kukidhi mawasiliano kulingana na wakati na mazingira ya kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kijamii yanayoikabili lugha hiyo. Uchambuzi matini na usaili vimeonesha kwamba nomino za Kiswahili zinazokopwa na kupokelewa katika Gᴉrᴉmi ni za ngeli nane ambazo ni MU-/WA-; MU-/MI-; JI-, Ø-/MA-; KI-/VI-; N-/N-; U-/N-; U-/MA-; na KU-, ambapo maumbo ya umoja na wingi, pamoja na sauti huchakatwa kulingana na mfumo lugha wa Gᴉrᴉmi. Hata hivyo, maana ya nomino inayokopwa hubaki ileile kama ilivyo katika lugha iliyokopesha. Kwa hiyo, inapendekezwa uchambuzi wowote wa mapokezi ya maneno uende sambamba na mfumo wa lugha inayokopa.
Walter de Gruyter GmbH
Title: Mapokezi ya Nomino za Kiswahili katika Ngeli za Nomino za Gᴉrᴉmi
Description:
Ikisiri Lengo la makala hii ni kuonesha jinsi nomino za Kiswahili zinavyokopwa ili kukidhi mawasiliano katika Gᴉrᴉmi.
Nomino (majina) ni miongoni mwa maneno yanayokopwa kutokana na umuhimu wake mkubwa katika lugha na mawasiliano kwa ujumla.
Umuhimu huo ni kutambulisha watu, vitu, hali na mahali.
Gᴉrᴉmi, kutokana na utangamano wake na Kiswahili, kinakopa na kutohoa nomino tofauti kwa lengo la kukidhi mawasiliano kulingana na wakati na mazingira ya kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kijamii yanayoikabili lugha hiyo.
Uchambuzi matini na usaili vimeonesha kwamba nomino za Kiswahili zinazokopwa na kupokelewa katika Gᴉrᴉmi ni za ngeli nane ambazo ni MU-/WA-; MU-/MI-; JI-, Ø-/MA-; KI-/VI-; N-/N-; U-/N-; U-/MA-; na KU-, ambapo maumbo ya umoja na wingi, pamoja na sauti huchakatwa kulingana na mfumo lugha wa Gᴉrᴉmi.
Hata hivyo, maana ya nomino inayokopwa hubaki ileile kama ilivyo katika lugha iliyokopesha.
Kwa hiyo, inapendekezwa uchambuzi wowote wa mapokezi ya maneno uende sambamba na mfumo wa lugha inayokopa.

Related Results

Uambikaji wa Viambishi Ngeli katika Nomino Sahili Zinazorejelea Ndugu na Maana yake katika Sarufi ya Kiswahili
Uambikaji wa Viambishi Ngeli katika Nomino Sahili Zinazorejelea Ndugu na Maana yake katika Sarufi ya Kiswahili
Nomino sahili ni maneno ambayo kimofolojia yameundwa na mofu huru moja. Pia, kisematiki, maneno haya yana maana zake katika kamusi. Licha ya kuwa na sifa hizi, uambikaji wa viambis...
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Penina Muhando ni mwanazuoni aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya fasihi na lugha ya Kiswahili. Mchango wake umeonekana hasa katika tamthiliya, sanaa za maonyesho pamoja na ...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa v...
Uundaji wa Kauli ya Kutendwa Katika Lugha ya Kiswahili na ya Kiarabu
Uundaji wa Kauli ya Kutendwa Katika Lugha ya Kiswahili na ya Kiarabu
Utafiti huu unalenga kuchanganua na kuchunguza uundaji wa kauli ya kutendwa katika lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiarabu, na mtafiti kutokana na ufundishaji wake wa kozi za sarufi...
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Makala haya yamekusudia kuchunguza namna ambavyo mabadiliko katika mtaala wa elimu ya msingi yanavyoathiri tathmini katika elimu ya juu. Mabadiliko ya mtaala yanafanyika katika nga...

Back to Top