Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Mchango Wa Kutumia Vyombo Vya Habari Katika Kueneza Lugha Ya Kiswahili Nchini Uganda: Eneo La Munispali Ya Nansana

View through CrossRef
Utafiti uliolenga mchango wa kutumia vyombo vya habari katika kueneza lugha ya kiswahili nchini Uganda na iliongozwa na maswali yafuatayo Kutathimini sababu zinazofanya Kiswahili kisitumike katika kutangaza habari na vipindi, Kutambua maoni kwa nini wananchi hawaelewi lugha ya Kiswahili na Kuchunguza athari za vyombo vya habari katika lugha ya Kiswahili nchini Uganda. Kiswahili kinatambulika kama lugha ya Afrika Mashariki. Kwa miaka mingi sasa imekuwa ikipata hadhi ya lugha ya Kimataifa, licha ya kwmba imekuwa ndio njia kuu ya mawasiliano baina ya watu wa makabila tofauti. Sifa hizi zote ni ushahidi wa haraka tu kwamba Kiswahili ni lugha ambayo imeweza kujenga misingi maalum ya maarifa ya wazungumzaji wake. Hii inatokana na kuwa hizi ni sifa zinazodhihirisha kuwa Kiswahili kinaweza kuzielezea dhana tofauti za watu wa aina mbalimbali na zikaeleweka kwa wazungumzaji wengine na hivyo watu kuelewana. Mtafiti alitembelea ofisi mbalimbali za vyombo vya habari na kuhojiana nao ambapo jumla ya watalaamu sitini aliowatembelea walisema Lugha ya Kiswahili inafaa kutumika kutolewa habari vyomboni vya habari, ambapo matokeo yalikuwa kama ifuatavyo, asilimia 80 walisema inafaa, asilimia 05 walisema haifai kutumia kiswahili kama lugha ya kutolewa habari na asilimia 15 walisema lugha zote ni sawa. Tamko la serikali kuhusu matumizi ya lugha ya kiswahili katika shughuli za umma. Kiswahili ndio lugha pekee ambayo huzungumzwa na kueleweka na idadi kubwa zaidi ya watanzania nchini kote. research.miu.ac.ug/publications 936 Metropolitan Journal of Social and Educational Research (MJSER) ISSN 1813-4262 (Print) ISSN 1813-4270 (online) Vol. 2 Issue 2, May - 2023, Pages: 936-945
Title: Mchango Wa Kutumia Vyombo Vya Habari Katika Kueneza Lugha Ya Kiswahili Nchini Uganda: Eneo La Munispali Ya Nansana
Description:
Utafiti uliolenga mchango wa kutumia vyombo vya habari katika kueneza lugha ya kiswahili nchini Uganda na iliongozwa na maswali yafuatayo Kutathimini sababu zinazofanya Kiswahili kisitumike katika kutangaza habari na vipindi, Kutambua maoni kwa nini wananchi hawaelewi lugha ya Kiswahili na Kuchunguza athari za vyombo vya habari katika lugha ya Kiswahili nchini Uganda.
Kiswahili kinatambulika kama lugha ya Afrika Mashariki.
Kwa miaka mingi sasa imekuwa ikipata hadhi ya lugha ya Kimataifa, licha ya kwmba imekuwa ndio njia kuu ya mawasiliano baina ya watu wa makabila tofauti.
Sifa hizi zote ni ushahidi wa haraka tu kwamba Kiswahili ni lugha ambayo imeweza kujenga misingi maalum ya maarifa ya wazungumzaji wake.
Hii inatokana na kuwa hizi ni sifa zinazodhihirisha kuwa Kiswahili kinaweza kuzielezea dhana tofauti za watu wa aina mbalimbali na zikaeleweka kwa wazungumzaji wengine na hivyo watu kuelewana.
Mtafiti alitembelea ofisi mbalimbali za vyombo vya habari na kuhojiana nao ambapo jumla ya watalaamu sitini aliowatembelea walisema Lugha ya Kiswahili inafaa kutumika kutolewa habari vyomboni vya habari, ambapo matokeo yalikuwa kama ifuatavyo, asilimia 80 walisema inafaa, asilimia 05 walisema haifai kutumia kiswahili kama lugha ya kutolewa habari na asilimia 15 walisema lugha zote ni sawa.
Tamko la serikali kuhusu matumizi ya lugha ya kiswahili katika shughuli za umma.
Kiswahili ndio lugha pekee ambayo huzungumzwa na kueleweka na idadi kubwa zaidi ya watanzania nchini kote.
research.
miu.
ac.
ug/publications 936 Metropolitan Journal of Social and Educational Research (MJSER) ISSN 1813-4262 (Print) ISSN 1813-4270 (online) Vol.
2 Issue 2, May - 2023, Pages: 936-945.

Related Results

Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Visababishi vya Idadi Kubwa ya Wanafunzi wa Shule za Sekondari Nchini Uganda Kutochukua Somo la Kiswahili
Visababishi vya Idadi Kubwa ya Wanafunzi wa Shule za Sekondari Nchini Uganda Kutochukua Somo la Kiswahili
Katika makala haya, mtafiti anaeleza visababishi vya idadi kubwa ya wanafunzi katika shule za upili nchini Uganda kutochukua somo la Kiswahili. Wakati wa kupunguza idadi ya masomo ...
Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Penina Muhando ni mwanazuoni aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya fasihi na lugha ya Kiswahili. Mchango wake umeonekana hasa katika tamthiliya, sanaa za maonyesho pamoja na ...
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
Uamilifu wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Kimatumizi kwenye Kaunti ya Bungoma
Lugha ni chombo maalum katika ustawishaji na uimarishaji wa rasilimali za mwanadamu. Pia, ni wenzo unaohimili sera ambazo hulenga katika kutimiza matarajio ya kitaifa katika nchi y...
Uundaji wa Kauli ya Kutendwa Katika Lugha ya Kiswahili na ya Kiarabu
Uundaji wa Kauli ya Kutendwa Katika Lugha ya Kiswahili na ya Kiarabu
Utafiti huu unalenga kuchanganua na kuchunguza uundaji wa kauli ya kutendwa katika lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiarabu, na mtafiti kutokana na ufundishaji wake wa kozi za sarufi...
Utangamano baina ya Lugha ya Kiswahili na Lugha ya Kinyambo Kimofolojia: Uchambuzi wa Maeneo Mahususi
Utangamano baina ya Lugha ya Kiswahili na Lugha ya Kinyambo Kimofolojia: Uchambuzi wa Maeneo Mahususi
Lengo la makala haya ni kuonesha utangamano wa lugha ya Kiswahili na lugha ya Kinyambo. Utangamano wa lugha hizo umeoneshwa katika baadhi ya vipengele vya kimofolojia ambavyo ni mb...
Uchanganuzi Linganishi Wa Malezi Ya Watoto Katika Michezo Ya Kuigiza Ya Kigezi Universal Actors Na Ya Jamii Halisi
Uchanganuzi Linganishi Wa Malezi Ya Watoto Katika Michezo Ya Kuigiza Ya Kigezi Universal Actors Na Ya Jamii Halisi
Katika tasnifu hii mtafiti ameonyesha malezi ya watoto na jinsi yanavyoshughulikiwa na wahusika katika michezo ya kuigiza ya Kigezi Universal Actors ambayo ina mkusanyiko wa michez...

Back to Top