Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Usawiri wa Nafasi ya Mwanamke katika Tamthiliya ya Kiswahili "Tamthiliya ya Alikiona kama mfano"

View through CrossRef
Makala hii inalenga kuchunguza usawiri wa nafasi ya mwanamke  katika tamthiliya ya Kiswahili "Tamthiliya ya Alikiona kama mfano" Katika kufanikisha lengo hili, tulichambua usawiri wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona na kuelezea uhalisia wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona kwa jamii ya leo. Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa usawiri wa mwanamke unajitokeza katika maeneo ya mwanamke ni uzinzi, mwanamke ni mtu wa hila na ghilba, mwanamke ni mpenda ufahari, mwanamke ni muongo, mwanamke na mmbeya, mwanamke na ujanja, mwanamke ni mtunza kumbukumbu, mwanamke ni stara, mwanamke ni mpenda kupigwa na mwanamke ni mtoa matusi. Usawiri huu wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona umethibitika kuwa na uhalisia katika maisha halisi ya jamii ya Watanzania ambapo mwanamke halisi anafanana na mwanamke ambaye anatajwa katika tamthiliya. Wapo wanawake kadhaa ambao wamekuwa na sifa kama hizo za mwanamke anayetajwa katika Alikiona.
Title: Usawiri wa Nafasi ya Mwanamke katika Tamthiliya ya Kiswahili "Tamthiliya ya Alikiona kama mfano"
Description:
Makala hii inalenga kuchunguza usawiri wa nafasi ya mwanamke  katika tamthiliya ya Kiswahili "Tamthiliya ya Alikiona kama mfano" Katika kufanikisha lengo hili, tulichambua usawiri wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona na kuelezea uhalisia wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona kwa jamii ya leo.
Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa usawiri wa mwanamke unajitokeza katika maeneo ya mwanamke ni uzinzi, mwanamke ni mtu wa hila na ghilba, mwanamke ni mpenda ufahari, mwanamke ni muongo, mwanamke na mmbeya, mwanamke na ujanja, mwanamke ni mtunza kumbukumbu, mwanamke ni stara, mwanamke ni mpenda kupigwa na mwanamke ni mtoa matusi.
Usawiri huu wa nafasi ya mwanamke katika tamthiliya ya Alikiona umethibitika kuwa na uhalisia katika maisha halisi ya jamii ya Watanzania ambapo mwanamke halisi anafanana na mwanamke ambaye anatajwa katika tamthiliya.
Wapo wanawake kadhaa ambao wamekuwa na sifa kama hizo za mwanamke anayetajwa katika Alikiona.

Related Results

Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Penina Muhando ni mwanazuoni aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya fasihi na lugha ya Kiswahili. Mchango wake umeonekana hasa katika tamthiliya, sanaa za maonyesho pamoja na ...
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Vipengele Vya Fasihi Vinavyojenga Taswira Ya Mwanamke Katikavitabu Teule Vya Biblia Takatifu
Lugha ni chombo cha kipekee kinachofinyangwa kuwasilisha taswira ya masuala changamano katika jamii. Matokeo haya ya lugha ni fasihi, ambayo ni kioo cha jamii. Biblia Takatifu ni k...
Usawiri wa Mwanamke wa Kisasa wa Kiislamu katika Filamu ya Maria.
Usawiri wa Mwanamke wa Kisasa wa Kiislamu katika Filamu ya Maria.
Swahili Utafiti huu ulilenga kuchunguza usawiri wa mwanamke wa kisasa wa Kiislamu katika filamu ya Maria. Mada ya utafiti ilitokana na utanzu wa fasihi simulizi, ambapo drama, kama...
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Nafasi ya Kiswahili katika Ujenzi wa Utamaduni wa Uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, Kenya
Nafasi ya Kiswahili katika Ujenzi wa Utamaduni wa Uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, Kenya
Swahili Lengo la makala haya ni kupambanua nafasi ya Kiswahili katika ujenzi wa utamaduni wa uongozi katika Shule ya Msingi ya Mungakha, Kaunti ya Kakamega, nchini Kenya. Uongozi w...
Vipengele Vya Ontolojia Katika Tamthiliya Za Kiswahili: Mashetani (1971) Na Kivuli Kinaishi (1990).
Vipengele Vya Ontolojia Katika Tamthiliya Za Kiswahili: Mashetani (1971) Na Kivuli Kinaishi (1990).
Makala haya yalilenga kuchambua vipengele vya Ontolojia ya Kiafrika katika tamthiliya za Kiswahili: mfano wa Mashetani (1971) na Kivuli Kinaishi (1990). Mbinu iliyotumika katika ku...
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Maumbile ya binadamu yamechukua mikondo miwili; mwanamume na mwanamke. Jamii tofauti hutoa majukumu kwa kuzingatia migao hii miwili. Hivi ni kusema kuwa, shughuli za mtu katika jam...
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...

Back to Top