Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Dhima ya Ngoma katika Tamthiliya ya Kiswahili ya Kimajaribio: Mfano kutoka Lina Ubani (1984)

View through CrossRef
Makala hii inachunguza dhima ya ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio. Tafiti kuhusu matumizi ya ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio zimeishia katika ngazi ya kubainisha tu pasi na kuchambua dhima zake. Kitendo cha kubainisha tu bila kuchambua dhima za ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio hakioneshi umuhimu wa kipengele hicho cha kifasihi simulizi katika kazi za fasihi andishi. Data za makala hii zilipatikana maktabani kwa kusoma tamthiliya ya Lina Ubani kisha kuchambua dhima ya ngoma. Uchambuzi wa data za makala hii umeongozwa na Nadharia ya Uamilifu. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa ngoma ina dhima za kifani na kimaudhui katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio.
University of Dar es Salaam
Title: Dhima ya Ngoma katika Tamthiliya ya Kiswahili ya Kimajaribio: Mfano kutoka Lina Ubani (1984)
Description:
Makala hii inachunguza dhima ya ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio.
Tafiti kuhusu matumizi ya ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio zimeishia katika ngazi ya kubainisha tu pasi na kuchambua dhima zake.
Kitendo cha kubainisha tu bila kuchambua dhima za ngoma katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio hakioneshi umuhimu wa kipengele hicho cha kifasihi simulizi katika kazi za fasihi andishi.
Data za makala hii zilipatikana maktabani kwa kusoma tamthiliya ya Lina Ubani kisha kuchambua dhima ya ngoma.
Uchambuzi wa data za makala hii umeongozwa na Nadharia ya Uamilifu.
Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa ngoma ina dhima za kifani na kimaudhui katika tamthiliya ya Kiswahili ya kimajaribio.

Related Results

Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Maisha ya Penina Muhando na Mchango wake katika Maendeleo ya Fasihi ya Kiswahili
Penina Muhando ni mwanazuoni aliyetoa mchango mkubwa katika maendeleo ya fasihi na lugha ya Kiswahili. Mchango wake umeonekana hasa katika tamthiliya, sanaa za maonyesho pamoja na ...
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa v...
Vipengele Vya Ontolojia Katika Tamthiliya Za Kiswahili: Mashetani (1971) Na Kivuli Kinaishi (1990).
Vipengele Vya Ontolojia Katika Tamthiliya Za Kiswahili: Mashetani (1971) Na Kivuli Kinaishi (1990).
Makala haya yalilenga kuchambua vipengele vya Ontolojia ya Kiafrika katika tamthiliya za Kiswahili: mfano wa Mashetani (1971) na Kivuli Kinaishi (1990). Mbinu iliyotumika katika ku...
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Uraia, Lugha na Haki za Kidijitali: umuhimu wa lugha katika harakati za kuondoa ukoloni katika teknolojia
Purpose Maneno mengi yanayohusu haki za binadamu na haki za kiteknolojia hayajatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili. Kwa hivyo, wataalamu wa teknolojia na watetezi wa haki za kidiji...
Usawiri wa Nafasi ya Mwanamke katika Tamthiliya ya Kiswahili "Tamthiliya ya Alikiona kama mfano"
Usawiri wa Nafasi ya Mwanamke katika Tamthiliya ya Kiswahili "Tamthiliya ya Alikiona kama mfano"
Makala hii inalenga kuchunguza usawiri wa nafasi ya mwanamke  katika tamthiliya ya Kiswahili "Tamthiliya ya Alikiona kama mfano" Katika kufanikisha lengo hili, tulichambua usawiri ...
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili

Uundaji wa Kauli ya Kutendwa Katika Lugha ya Kiswahili na ya Kiarabu
Uundaji wa Kauli ya Kutendwa Katika Lugha ya Kiswahili na ya Kiarabu
Utafiti huu unalenga kuchanganua na kuchunguza uundaji wa kauli ya kutendwa katika lugha ya Kiswahili na lugha ya Kiarabu, na mtafiti kutokana na ufundishaji wake wa kozi za sarufi...

Back to Top