Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Hifadhi ya Maswali ya Homa ya Virusi vya Damu: Maswali stahilifu ya kuelewa mienendo ya uambukizaji na uzoefu wa huduma

View through CrossRef
Homa ya damu ya virusi (VHFs) ni kundi la magonjwa makali yanayosababishwa na virusi vinavyoathiri viungo vingi vya mwili na kuharibu mfumo wa moyo. VHF inajumuisha ugonjwa wa virusi vya Ebola na ugonjwa wa virusi wa Marburg. Kuna tofauti kubwa katika jinsi VHF zinavyotambuliwa, jinsi zinavyoweza kusababisha magonjwa, usambazaji wao wa kijiografia, hifadhi zao zinazojulikana (yaani, wanyama au wadudu wanaoeneza ugonjwa huo) na upatikanaji wa chanjo au matibabu. Unapotumia Hifadhi hii ya Maswali kwa hali ya dharura mahususi ya afya ya umma kuhusiana na VHF iliyotambuliwa, zingatia vipengele hivi pamoja na uchanganuzi uliosasishwa wa muktadha wa nchi na maendeleo ya dalili za kiafya za ugonjwa kati ya watu walio hatarini. Maendeleo ya Hifadhi hii ya Maswali yametokana na zaidi ya miaka 10 ya utafiti wa kina wa sayansi ya jamii uliofanywa wakati wa milipuko ya VHF na dharura nyingine za afya ya umma zinazohusisha magonjwa ya kuambukiza. Mada nyingi zilizojumuishwa katika Hifadhi hii ya Maswali zitasanifu milipuko ya VHF ambapo maambukizi kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine yametambuliwa kuwa mchango mkuu wa mlipuko huo kuenea na ambapo uzoefu wa tiba kwa mgonjwa lazima ueleweke ili kuwa na majibu yanayokidhi hofu za wanajamii. Lazima maswali yabadilishwe kulingana na VHF mahususi, muktadha wa nchi na idadi ya watu waliohojiwa.
Institute of Development Studies
Title: Hifadhi ya Maswali ya Homa ya Virusi vya Damu: Maswali stahilifu ya kuelewa mienendo ya uambukizaji na uzoefu wa huduma
Description:
Homa ya damu ya virusi (VHFs) ni kundi la magonjwa makali yanayosababishwa na virusi vinavyoathiri viungo vingi vya mwili na kuharibu mfumo wa moyo.
VHF inajumuisha ugonjwa wa virusi vya Ebola na ugonjwa wa virusi wa Marburg.
Kuna tofauti kubwa katika jinsi VHF zinavyotambuliwa, jinsi zinavyoweza kusababisha magonjwa, usambazaji wao wa kijiografia, hifadhi zao zinazojulikana (yaani, wanyama au wadudu wanaoeneza ugonjwa huo) na upatikanaji wa chanjo au matibabu.
Unapotumia Hifadhi hii ya Maswali kwa hali ya dharura mahususi ya afya ya umma kuhusiana na VHF iliyotambuliwa, zingatia vipengele hivi pamoja na uchanganuzi uliosasishwa wa muktadha wa nchi na maendeleo ya dalili za kiafya za ugonjwa kati ya watu walio hatarini.
Maendeleo ya Hifadhi hii ya Maswali yametokana na zaidi ya miaka 10 ya utafiti wa kina wa sayansi ya jamii uliofanywa wakati wa milipuko ya VHF na dharura nyingine za afya ya umma zinazohusisha magonjwa ya kuambukiza.
Mada nyingi zilizojumuishwa katika Hifadhi hii ya Maswali zitasanifu milipuko ya VHF ambapo maambukizi kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine yametambuliwa kuwa mchango mkuu wa mlipuko huo kuenea na ambapo uzoefu wa tiba kwa mgonjwa lazima ueleweke ili kuwa na majibu yanayokidhi hofu za wanajamii.
Lazima maswali yabadilishwe kulingana na VHF mahususi, muktadha wa nchi na idadi ya watu waliohojiwa.

Related Results

Usahihi wa Uhawilishaji wa Viwakilishi vya Jinsia katika Vitabu vya Kiingereza Vilivyotafsiriwa kutoka Kiswahili
Usahihi wa Uhawilishaji wa Viwakilishi vya Jinsia katika Vitabu vya Kiingereza Vilivyotafsiriwa kutoka Kiswahili
Kusudi: Utafiti huu ulichunguza usahihi wa uhawilishaji wa viwakilishi vya jinsia katika vitabu vya Kiingereza vilivyotafsiriwa kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza. Utafiti huu ulid...
Homa: Tantric Fire Ritual
Homa: Tantric Fire Ritual
The homa is a votive offering involving the construction of a fire in a hearth-altar, and the immolation of offerings in the fire. The altar is homologized with a mandala, and as w...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Tofauti kati ya Majukumu na Maumbo ya Uhusika Katika Vichwa vya Habari za Siasa Kwenye Gazeti la Taifa Leo la Kenya.
Tofauti kati ya Majukumu na Maumbo ya Uhusika Katika Vichwa vya Habari za Siasa Kwenye Gazeti la Taifa Leo la Kenya.
Makala hii inaonyesha tofauti iliyopo kati ya majukumu na maumbo ya uhusika katika vichwa vya habari vya siasa kwenye gazeti la Taifa Leo. Nadharia ya uhusika iliyoasisiwa na Charl...
Uchunguzi wa Dhamira Zinazojengwa na Vipengele vya Sanaa katikaVisasuli vya Wahaya
Uchunguzi wa Dhamira Zinazojengwa na Vipengele vya Sanaa katikaVisasuli vya Wahaya
Sanaa ni sehemu muhimu ya maisha ya kila siku katika kabila la Wahaya. Umuhimu wa sanaa katika kabila la Wahaya unatokana na utajiri mkubwa walionao katika fasihi simulizi hususani...
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Athari ya Ukosefu wa Ishara za Isimu katika Ufundishaji na Athari ya Mikato ya Kiingereza na Kiswahili katika Uchapishaji wa Vitabu
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Ruwaza za Toni katika Vitenzi Visoukomo Changamani vya Kirombo
Ruwaza za Toni katika Vitenzi Visoukomo Changamani vya Kirombo
Makala haya yanahusu uchanganuzi wa ruwaza za Toni katika Vitenzi visoukomo changamani vya Kirombo. Lengo kuu la makala haya ni kuchunguza ruwaza ya ujitokezaji wa toni katika vite...

Back to Top