Javascript must be enabled to continue!
Mabadiliko Katika Uteuzi wa Majina ya Koo Miongoni mwa Wazinza Nchini Tanzania.
View through CrossRef
Makala hii inachambua mabadiliko yaliyopo katika uteuzi wa majina ya koo miongoni mwa Wazinza na sababu zinazopelekea mabadiliko hayo katika utoaji wa majina kwa jamii ya Wazinza. Mila na desturi ni nguzo muhimu sana katika utamaduni wa jamii yoyote ile. Mila na desturi za jamii ni mambo ya kimsingi ya kuzingatia wakati wa kuteua majina, hata hivyo mila hizi zimepuuzwa kwa miaka ya hivi karibuni katika jamii ya Wazinza hivyo kupelekea kuwepo kwa mabadiliko makubwa katika uteuzi wa majina ya koo kwa kutofuata mila na desturi. Utafiti uliongozwa na nadharia ya Makutano na Mwachano iliyoasisiwa na Giles (1982). Mtafiti alitumia mihimili mitatu ya nadharia ya Makutano na Mwachano. Sampuli za utafiti ziliteuliwa kwa kutumia mbinu za kimaksudi na kuelekezwa. Watafitiwa kumi na nane wenye umri wa kati ya miaka 25-90 walichaguliwa. Ukusanyaji wa data uliongozwa na miongozo miwili ya maswali; mmoja wa mijadala ya vikundi lengwa na mwingine wa mahojiano ya kina. Baadhi ya mabadiliko haya ni kama vile; athari za utandawazi, elimu, dini, ndoa, tamaduni za kigeni, lugha za kigeni na watu mashuhuri katika jamii.
Editon Consortium Publishing
Title: Mabadiliko Katika Uteuzi wa Majina ya Koo Miongoni mwa Wazinza Nchini Tanzania.
Description:
Makala hii inachambua mabadiliko yaliyopo katika uteuzi wa majina ya koo miongoni mwa Wazinza na sababu zinazopelekea mabadiliko hayo katika utoaji wa majina kwa jamii ya Wazinza.
Mila na desturi ni nguzo muhimu sana katika utamaduni wa jamii yoyote ile.
Mila na desturi za jamii ni mambo ya kimsingi ya kuzingatia wakati wa kuteua majina, hata hivyo mila hizi zimepuuzwa kwa miaka ya hivi karibuni katika jamii ya Wazinza hivyo kupelekea kuwepo kwa mabadiliko makubwa katika uteuzi wa majina ya koo kwa kutofuata mila na desturi.
Utafiti uliongozwa na nadharia ya Makutano na Mwachano iliyoasisiwa na Giles (1982).
Mtafiti alitumia mihimili mitatu ya nadharia ya Makutano na Mwachano.
Sampuli za utafiti ziliteuliwa kwa kutumia mbinu za kimaksudi na kuelekezwa.
Watafitiwa kumi na nane wenye umri wa kati ya miaka 25-90 walichaguliwa.
Ukusanyaji wa data uliongozwa na miongozo miwili ya maswali; mmoja wa mijadala ya vikundi lengwa na mwingine wa mahojiano ya kina.
Baadhi ya mabadiliko haya ni kama vile; athari za utandawazi, elimu, dini, ndoa, tamaduni za kigeni, lugha za kigeni na watu mashuhuri katika jamii.
Related Results
Microwave Ablation with or Without Chemotherapy in Management of Non-Small Cell Lung Cancer: A Systematic Review
Microwave Ablation with or Without Chemotherapy in Management of Non-Small Cell Lung Cancer: A Systematic Review
Abstract
Introduction
Microwave ablation (MWA) has emerged as a minimally invasive treatment for patients with inoperable non-small cell lung cancer (NSCLC). However, whether it i...
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Mabadiliko katika Mtaala wa Elimu ya Msingi na Namna Yanavyoathiri Tathmini katika Elimu ya Juu
Makala haya yamekusudia kuchunguza namna ambavyo mabadiliko katika mtaala wa elimu ya msingi yanavyoathiri tathmini katika elimu ya juu. Mabadiliko ya mtaala yanafanyika katika nga...
Vigezo vya utoaji majina ya asili ya watu katika jamiilugha ya Wagogo
Vigezo vya utoaji majina ya asili ya watu katika jamiilugha ya Wagogo
Makala haya yamejikita katika kuchunguza vigezo vya utoaji majina ya asili ya watu katika jamiilugha ya Wagogo. Makala haya yameongozwa na swali moja katika kuandaliwa kwake. Swali...
Maana za Majina ya Asili ya Watoto katika Jamii ya Waasu
Maana za Majina ya Asili ya Watoto katika Jamii ya Waasu
Makala hii inachunguza maana za majina ya asili ya watoto katika jamii ya Waasu. Malengo mahususi yakiwa kwanza kubaini majina ya asili ya watoto, na pili kueleza maana zilizobebwa...
Ujitokezaji wa Viarudhi vya Kifonolojia katika Kihaya: Uchunguzi Kifani wa Toni katika Lahaja ya Kihamba
Ujitokezaji wa Viarudhi vya Kifonolojia katika Kihaya: Uchunguzi Kifani wa Toni katika Lahaja ya Kihamba
Fonolojia ni taaluma iliyosheheni viarudhi au vipambasauti kama ambavyo wataalamu wengine huviita. Miongoni mwake ni toni, lafudhi, mkazo, nguvumsikiko, usilabi, kiimbo, unguvunguv...
Matumizi ya Lugha za Kiafrika Kuelekeza Wasichana Katika Masuala ya Ndoa: Mfano wa Matumizi ya Semi Katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda
Matumizi ya Lugha za Kiafrika Kuelekeza Wasichana Katika Masuala ya Ndoa: Mfano wa Matumizi ya Semi Katika Jamii ya Wamasaaba Nchini Uganda
Katika makala haya, mtafiti anaeleza jinsi lugha inavyotumiwa na wazazi katika shughuli ya kuelekeza mabinti zao katika maisha ya ndoa. Anafanya hivyo kwa kurejelea ndoa za kijadi ...
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Vikwazo vya Usimilishaji wa Ishara za Isimu katika Breili
Utafiti huu ulinuia kuchanganua usimilishaji wa ishara za isimu katika breili ya Kiswahili. Uchanganuzi huu ulitiwa hamasa na mambo matano muhimu. Kwanza, breili ndio njia ya pekee...
Umuhimu wa mafumbo yanayotumika katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya.
Umuhimu wa mafumbo yanayotumika katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya.
IKISIRI
Utafiti huu ulihakiki umuhimu wa mafumbo yanayotumiwa katika miktadha ya wosia wa babu kwa wavulana miongoni mwa Wabukusu wa Kenya. Mafumbo ni kipera cha semi katika ...

