Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Uchunguzi wa Mtagusano baina ya Hisia na Motifu: Mifano kutoka Tamthilia ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe

View through CrossRef
Motifu ni miongoni mwa vipengele vilivyochunguzwa kwenye matini za kifasihi andishi kwa mielekeo mbalimbali kama vile kuitumia kama nadharia ya uchambuzi na kama dhana ya uchambuzi. Licha ya tofauti za kimielekeo katika uchunguzi wa motifu, msingi wa tafiti hizo unatambua kuwa motifu ni kipengele radidi katika matini husika. Kwa kuwa matendo ya wahusika ndiyo yenye kuibua hali ya kujirudiarudia kwa jambo, kipengele cha wahusika kimeonekana kuhusishwa kwa karibu na motifu. Hata hivyo, ingawa tafiti na mawazo ya wataalamu hayahitilafiani kuhusu msingi wa utambuzi wa motifu, sababu inayochochea kujirudiarudia kwa vijenzi vinavyoijenga/vinavyoibua motifu hazipo bayana. Kwa hiyo, kwa kuzingatia mwelekeo wenye kuichambua motifu kama kijenzi tegemezi, utafiti huu ulifanyika ili kuchunguza vichocheo vyenye kukifanya kijenzi husika kijirudie kiasi cha kuibua motifu. Ili kutimiza lengo hilo, data zilikusanywa katika tamthilia ya Ngoswe: Penzi Kitovu cha Uzembe kwa kutumia mbinu ya usomaji matini huku uchambuzi wa data ukiongozwa na Nadharia ya Rasa. Matokeo ya utafiti yameonesha kwamba hali ya kujirudiarudia kwa jambo huchochewa na hisia za wahusika; hivyo, hisia na motifu hukamilishana.
Title: Uchunguzi wa Mtagusano baina ya Hisia na Motifu: Mifano kutoka Tamthilia ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe
Description:
Motifu ni miongoni mwa vipengele vilivyochunguzwa kwenye matini za kifasihi andishi kwa mielekeo mbalimbali kama vile kuitumia kama nadharia ya uchambuzi na kama dhana ya uchambuzi.
Licha ya tofauti za kimielekeo katika uchunguzi wa motifu, msingi wa tafiti hizo unatambua kuwa motifu ni kipengele radidi katika matini husika.
Kwa kuwa matendo ya wahusika ndiyo yenye kuibua hali ya kujirudiarudia kwa jambo, kipengele cha wahusika kimeonekana kuhusishwa kwa karibu na motifu.
Hata hivyo, ingawa tafiti na mawazo ya wataalamu hayahitilafiani kuhusu msingi wa utambuzi wa motifu, sababu inayochochea kujirudiarudia kwa vijenzi vinavyoijenga/vinavyoibua motifu hazipo bayana.
Kwa hiyo, kwa kuzingatia mwelekeo wenye kuichambua motifu kama kijenzi tegemezi, utafiti huu ulifanyika ili kuchunguza vichocheo vyenye kukifanya kijenzi husika kijirudie kiasi cha kuibua motifu.
Ili kutimiza lengo hilo, data zilikusanywa katika tamthilia ya Ngoswe: Penzi Kitovu cha Uzembe kwa kutumia mbinu ya usomaji matini huku uchambuzi wa data ukiongozwa na Nadharia ya Rasa.
Matokeo ya utafiti yameonesha kwamba hali ya kujirudiarudia kwa jambo huchochewa na hisia za wahusika; hivyo, hisia na motifu hukamilishana.

Related Results

Prediction of body weights from linear body parameters of rabbit genotypes in the humid tropics
Prediction of body weights from linear body parameters of rabbit genotypes in the humid tropics
This study aimed to determine the association between body weight and linear body parameters in rabbits. A total of 93 kittens generated from crosses of New Zealand White (NZW) x N...
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Jinsi Masuala ya Kijinsia Yalivyo Shughulikiwa Katika Tamthilia ya ‘Bembea ya Maisha’ kwa Kuzingatia Jinsia ya Mwandishi
Maumbile ya binadamu yamechukua mikondo miwili; mwanamume na mwanamke. Jamii tofauti hutoa majukumu kwa kuzingatia migao hii miwili. Hivi ni kusema kuwa, shughuli za mtu katika jam...
ANALYSIS OF INTERPERSONAL COMMUNICATION PATTERNS IN K-DRAMA HOMETOWN CHA-CHA-CHA
ANALYSIS OF INTERPERSONAL COMMUNICATION PATTERNS IN K-DRAMA HOMETOWN CHA-CHA-CHA
Interpersonal communication is the most basic thing. Thanks to good interpersonal communication, making the relationship that exists will be good. In the k-drama “Hometown cha-cha-...
How Common can the Origin of Clusters Cha I, Cha II, ϵ Cha and η Cha be?
How Common can the Origin of Clusters Cha I, Cha II, ϵ Cha and η Cha be?
Abstract The trajectories of the groupings η Cha, ϵ Cha and Cha I, Cha II, constructed backward in time, have been studied. We concluded that the hypothesis about th...
“RIKYŪ HYAKUSHU” SEBAGAI CERMINAN DARI JIWA CHA NO YU
“RIKYŪ HYAKUSHU” SEBAGAI CERMINAN DARI JIWA CHA NO YU
Dalam cha no yu terdapat istilah WaKeiSeiJaku yakni ajaran yang dicetuskan oleh Sen no Rikyū yang merupakan nilai-nilai kejiwaan yang terdapat dalam Cha no Yu. Ajaran-ajaran terseb...
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Ushairi WA Kiganda Unavyoweza Kuchangia Na Kuendeleza Ushairi WA Kiswahili Kimtindo Na Kimaudhui: Mfano WA Ufundishaji Nchini Uganda
Wanafunzi wengi nchini Uganda wanachukulia utanzu wa ushairi wa Kiswahili kuwa mgumu na wanapata ugumu katika kujifunza ushairi wa Kiswahili. Ushairi wa Kiganda umekuwa unatendwa v...
Synthesis of Nanosized Carbonated Hydroxyapatite under Microwave Irradiation
Synthesis of Nanosized Carbonated Hydroxyapatite under Microwave Irradiation
In order to solve the problems on synthesizing carbonated hydroxyapatites (CHA) by the conventional heating precipitation method, such as long reaction and large particle size, poo...

Back to Top