Javascript must be enabled to continue!
Hifadhi ya Maswali ya Homa ya Virusi vya Damu: Maswali stahilifu ya kuelewa mienendo ya uambukizaji na uzoefu wa huduma
View through CrossRef
Homa ya damu ya virusi (VHFs) ni kundi la magonjwa makali yanayosababishwa na virusi vinavyoathiri viungo vingi vya mwili na kuharibu mfumo wa moyo. VHF inajumuisha ugonjwa wa virusi vya Ebola na ugonjwa wa virusi wa Marburg. Kuna tofauti kubwa katika jinsi VHF zinavyotambuliwa, jinsi zinavyoweza kusababisha magonjwa, usambazaji wao wa kijiografia, hifadhi zao zinazojulikana (yaani, wanyama au wadudu wanaoeneza ugonjwa huo) na upatikanaji wa chanjo au matibabu. Unapotumia Hifadhi hii ya Maswali kwa hali ya dharura mahususi ya afya ya umma kuhusiana na VHF iliyotambuliwa, zingatia vipengele hivi pamoja na uchanganuzi uliosasishwa wa muktadha wa nchi na maendeleo ya dalili za kiafya za ugonjwa kati ya watu walio hatarini.
Maendeleo ya Hifadhi hii ya Maswali yametokana na zaidi ya miaka 10 ya utafiti wa kina wa sayansi ya jamii uliofanywa wakati wa milipuko ya VHF na dharura nyingine za afya ya umma zinazohusisha magonjwa ya kuambukiza. Mada nyingi zilizojumuishwa katika Hifadhi hii ya Maswali zitasanifu milipuko ya VHF ambapo maambukizi kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine yametambuliwa kuwa mchango mkuu wa mlipuko huo kuenea na ambapo uzoefu wa tiba kwa mgonjwa lazima ueleweke ili kuwa na majibu yanayokidhi hofu za wanajamii. Lazima maswali yabadilishwe kulingana na VHF mahususi, muktadha wa nchi na idadi ya watu waliohojiwa.
Title: Hifadhi ya Maswali ya Homa ya Virusi vya Damu: Maswali stahilifu ya kuelewa mienendo ya uambukizaji na uzoefu wa huduma
Description:
Homa ya damu ya virusi (VHFs) ni kundi la magonjwa makali yanayosababishwa na virusi vinavyoathiri viungo vingi vya mwili na kuharibu mfumo wa moyo.
VHF inajumuisha ugonjwa wa virusi vya Ebola na ugonjwa wa virusi wa Marburg.
Kuna tofauti kubwa katika jinsi VHF zinavyotambuliwa, jinsi zinavyoweza kusababisha magonjwa, usambazaji wao wa kijiografia, hifadhi zao zinazojulikana (yaani, wanyama au wadudu wanaoeneza ugonjwa huo) na upatikanaji wa chanjo au matibabu.
Unapotumia Hifadhi hii ya Maswali kwa hali ya dharura mahususi ya afya ya umma kuhusiana na VHF iliyotambuliwa, zingatia vipengele hivi pamoja na uchanganuzi uliosasishwa wa muktadha wa nchi na maendeleo ya dalili za kiafya za ugonjwa kati ya watu walio hatarini.
Maendeleo ya Hifadhi hii ya Maswali yametokana na zaidi ya miaka 10 ya utafiti wa kina wa sayansi ya jamii uliofanywa wakati wa milipuko ya VHF na dharura nyingine za afya ya umma zinazohusisha magonjwa ya kuambukiza.
Mada nyingi zilizojumuishwa katika Hifadhi hii ya Maswali zitasanifu milipuko ya VHF ambapo maambukizi kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine yametambuliwa kuwa mchango mkuu wa mlipuko huo kuenea na ambapo uzoefu wa tiba kwa mgonjwa lazima ueleweke ili kuwa na majibu yanayokidhi hofu za wanajamii.
Lazima maswali yabadilishwe kulingana na VHF mahususi, muktadha wa nchi na idadi ya watu waliohojiwa.
Related Results
Homa: Tantric Fire Ritual
Homa: Tantric Fire Ritual
The homa is a votive offering involving the construction of a fire in a hearth-altar, and the immolation of offerings in the fire. The altar is homologized with a mandala, and as w...
SERUM VISFATIN, INSULIN RESISTANCE AND BETA CELL FUNCTION IN TYPE II DIABETIC PATIENTS AND NON-DIABETIC ADULT OFFSPRING WITH POSITIVE PARENTAL HISTORY OF TYPE II DIABETES MELLITUS
SERUM VISFATIN, INSULIN RESISTANCE AND BETA CELL FUNCTION IN TYPE II DIABETIC PATIENTS AND NON-DIABETIC ADULT OFFSPRING WITH POSITIVE PARENTAL HISTORY OF TYPE II DIABETES MELLITUS
Introduction:
Non-diabetic individuals with type II diabetic parents are more susceptible to develop Diabetes. Visfatin; an adipocytokine and an enzyme is linked with glucose...
Efek Hipoglikemik Kecambah Beras Merah pada Tikus yang Diinduksi STZ-NA dengan Parameter Kadar Insulin, Indeks HOMA-IR dan HOMA β (Hypoglycemic Effect of Red Rice Germ on Insulin Levels, HOMA-IR, and HOMA β Index of STZ-NA Induced Rats)
Efek Hipoglikemik Kecambah Beras Merah pada Tikus yang Diinduksi STZ-NA dengan Parameter Kadar Insulin, Indeks HOMA-IR dan HOMA β (Hypoglycemic Effect of Red Rice Germ on Insulin Levels, HOMA-IR, and HOMA β Index of STZ-NA Induced Rats)
The process of germination of grains such as rice, could increase some nutritional values of amino acids and dietary fiber. Red rice and its sprouts are believed to be able to dec...
Analysis of insulin resistance using the non-linear homeostatic model assessment index in overweight canines
Analysis of insulin resistance using the non-linear homeostatic model assessment index in overweight canines
Background and Aim: Diabetes mellitus is a carbohydrate metabolism disorder produced mainly by a deficit in insulin production or insulin resistance. The homeostatic model assessme...
Glucose and insulin levels’ linkages with breast cancer factors
Glucose and insulin levels’ linkages with breast cancer factors
Serum lipid and glucose metabolisms are considered as the intermediary mechanisms for connecting obesity and Breast Cancer (BC). The article aims to identify the linkages between ...
Fructosamine and Triglycerides - Developing an Index for Assessing Insulin Resistance
Fructosamine and Triglycerides - Developing an Index for Assessing Insulin Resistance
ABSTRACTIntroductionInsulin resistance (IR) is a metabolic condition where cells become less responsive to insulin, affecting glucose absorption and leading to diseases like type 2...
The high homeostatic model assessment of insulin resistance as risk factor for acne vulgaris
The high homeostatic model assessment of insulin resistance as risk factor for acne vulgaris
Background: Acne vulgaris (AV) is a common chronic skin disease involving blockage and or inflammation of pilosebaceous glands which usually affects teenagers and young adults. Ele...
लुँती अजिमा जात्रा र जीव आहुति होम {Lunti Ajima Jatra ra Jiva Aahuti Homa}
लुँती अजिमा जात्रा र जीव आहुति होम {Lunti Ajima Jatra ra Jiva Aahuti Homa}
मध्यकालीन काठमाण्डौ सहरको पश्चिमतर्फ विष्णुमती नदी किनारको ढल्को टोलमा एक शक्तिपीठ रहेको छ जसलाई स्थानीय नेवार समुदायले लुँती अजिमा नामले सम्बोधन गर्ने गर्दछन् । पौराणिक कालकी अष्ठ...

