Search engine for discovering works of Art, research articles, and books related to Art and Culture
ShareThis
Javascript must be enabled to continue!

Wasifu wa Sera Lengwa

View through CrossRef
Wakati mwingi, lengo la mwisho la utafiti wa kliniki ni mabadiliko ya sera, lakini mara nyingi kuna pengo kati ya utafiti na pande za sera inayoweza kusababisha kupotezwa kwa fedha na wakati. Kushughulikia haya, kifaa kipya kinachojulikana kama Wasifu wa Sera Lengwa (TPoP) kinaweza kutumika kabla ya kuanza kwa utafiti ili kutambua maswali muhimu ya utafiti, kusaidia maamuzi ya sera au kutumika wakati wa uzalishaji wa ushahidi na usambazaji wake. Wasifu wa Sera Lengwa linasaidia watafiti kuchambua ushahidi uliopo katika sera husika, pengo katika ushahidi huo na asili ya ushahidi utakikanao kujaza haya mapengo. Zaidi ya hayo, inawezesha mazungumzo ya mapema na ya kuendelea baina ya watafiti na wadau. Wakiwa wamejihami na maarifa haya pamoja na mahusiano haya, watafiti wa kliniki huongeza uwezekano waa masomo husika kukidhi mahitaji ili kutengeneza sera bora kwa njia inayofaa.
Title: Wasifu wa Sera Lengwa
Description:
Wakati mwingi, lengo la mwisho la utafiti wa kliniki ni mabadiliko ya sera, lakini mara nyingi kuna pengo kati ya utafiti na pande za sera inayoweza kusababisha kupotezwa kwa fedha na wakati.
Kushughulikia haya, kifaa kipya kinachojulikana kama Wasifu wa Sera Lengwa (TPoP) kinaweza kutumika kabla ya kuanza kwa utafiti ili kutambua maswali muhimu ya utafiti, kusaidia maamuzi ya sera au kutumika wakati wa uzalishaji wa ushahidi na usambazaji wake.
Wasifu wa Sera Lengwa linasaidia watafiti kuchambua ushahidi uliopo katika sera husika, pengo katika ushahidi huo na asili ya ushahidi utakikanao kujaza haya mapengo.
Zaidi ya hayo, inawezesha mazungumzo ya mapema na ya kuendelea baina ya watafiti na wadau.
Wakiwa wamejihami na maarifa haya pamoja na mahusiano haya, watafiti wa kliniki huongeza uwezekano waa masomo husika kukidhi mahitaji ili kutengeneza sera bora kwa njia inayofaa.

Related Results

Antibody capture radioimmunoassay (MACRIA) for coxsackievirus B4 and B5-specific IgM
Antibody capture radioimmunoassay (MACRIA) for coxsackievirus B4 and B5-specific IgM
SUMMARYAn antibody capture radioimmunoassay was established for the detection of coxsackievirus B4 and B5-specific IgM. A significant feature of the assay was the use of an unrefin...
Mtunzi kama Mtafsiri Anayeingilia Kati ya Tafsiri: Kifo Kisimani (1999) na Natala (2005)
Mtunzi kama Mtafsiri Anayeingilia Kati ya Tafsiri: Kifo Kisimani (1999) na Natala (2005)
Utafiti huu unalenga kuchunguza kwa kina nafasi na athari za mwandishi anaposhiriki moja kwa moja katika mchakato wa kutafsiri kazi yake ya kifasihi, kwa kuzingatia tamthilia mbili...
OS SERVIDORES PÚBLICOS MUNICIPAIS
OS SERVIDORES PÚBLICOS MUNICIPAIS
I. Organização do funcionalismo municipal1. A Autonomia dos Municípios e a organização de seu funcionalismo — A Constituição Federal assegura, aos Municípios, a autonomia de autogo...
IN VITRO STUDIES OF ULCERATIVE COLITIS
IN VITRO STUDIES OF ULCERATIVE COLITIS
By means of immunofluorescent methods it has been shown that sera from children with ulcerative colitis contain antibodies which react with fetal colon cells in tissue culture. 5 o...
PENGARUH PENAMBAHAN PROPYLENE GLYCOL TERHADAP KADAR BILIRUBIN TOTAL PADA POOLED SERA
PENGARUH PENAMBAHAN PROPYLENE GLYCOL TERHADAP KADAR BILIRUBIN TOTAL PADA POOLED SERA
Kestabilan pada pooled sera untuk pemeriksaan bilirubin total merupakan salah satu faktor yang menentukan. Hal ini telah dibuktikan oleh beberapa peneliti diantaranya Muslim (2015)...
Anti-Ro52 antibodies frequently co-occur with anti-Jo-1 antibodies in sera from patients with idiopathic inflammatory myopathy
Anti-Ro52 antibodies frequently co-occur with anti-Jo-1 antibodies in sera from patients with idiopathic inflammatory myopathy
SUMMARY We analysed 112 idiopathic inflammatory myopathy (IIM) sera for the presence of anti-Ro, anti-La and anti-histidyl-tRNA synthetase (Jo-1) autoantibodies, and...
STUDIES ON THE BIOLOGY OF STREPTOCOCCUS
STUDIES ON THE BIOLOGY OF STREPTOCOCCUS
The interpretation of the results in these experiments is difficult on account of the variations in the physical capacity of different strains of hemolytic streptococcus to aggluti...
Aerodynamic design of long endurance convertible UAV
Aerodynamic design of long endurance convertible UAV
Conception aérodynamique de drones convertibles de longue endurance Dans le cadre de la recherche doctorale, une méthode complète sera établie pour la conception aé...

Back to Top